Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.

Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia..



Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga wallet yangu vizuri.
Mapenz kwanza kuhongana baadae.

Naona kaamua kunikimbia bila kunipa taraka yangu kuwa tumeachana sikutaki.
1000010089.png
 
Back
Top Bottom