π mkuu hata wewe ukiingia huko watapafaham kwako kulingana na maelekezo ya wapi wakuletee pindi mzigo wako ukifika.Ok poa bro next time ntakuagiza simu na PC maana wanajua hadi kwako[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Utanisaidia bila shaka
[emoji23] mkuu hata wewe ukiingia huko watapafaham kwako kulingana na maelekezo ya wapi wakuletee pindi mzigo wako ukifika.
Naomba link hao jamaa niwaagize mzigo.
Mikoani wanafika?
Ila tuelewane mkuu, mimi siyo mtu wao wa masoko [emoji23]!! Ingia hapo [emoji654]https://m.kikuu.com