Mrejesho baada ya kuagiza Gari toka Japan

Tazama CIF amount ya kwenye Profoma halafu compare na ile ya tra kwenye calculator yao. TRA huwa wanabadilika ,kama CIF ya gari yako kwenye documents za gari ni kubwa kupita ile waliyolist katika calculator yao then wanachukua ile ya kwenye documents wanaacha ile waliyokadiria wao.

Kama ya kwenye documents ni ndogo sana kuliko waliyokadiria kwenye calculator yao then wanachukua ya kwao sababu ni kubwa kuliko hiyo ya kwenye documents ili wapate zaidi.

Sasa watu wengi hii ikiwakuta ndio unakuta analisusa na gari lenyewe hapo hapo bandari lipigwe mnada yeye analia na MUNGU tu awalaani TRA.
 
We jamaa una roho nzuri sana
 
Yan mi ya kwangu mkuu ni kwamba ya TRA kwa mwezi huu imepungua kuliko ilivokua mwanzo sasa basi uyu wakala wangu badala ya kusema wameshusha yeye ananambia wamepandisha.

Wewe apo ata sasa ivi ingia TRA calculator ist ya 2006 ni sh ngapi ? Itakupa ni 6.1m wakati mwanzo ilikua 6.6m sijui inanielewa?...

Kwa kifupi jamaa kaingia cha kike kwangu kmmk [emoji2955][emoji2955]
 
Yan mi ya kwangu mkuu ni kwamba ya TRA kwa mwezi huu imepungua kuliko ilivokua mwanzo sasa basi uyu wakala wangu badala ya kusema wameshusha yeye ananambia wamepandisha...
Umeambiwa angalia CIF ya kwenye Invoice yako acha kukariri..

Kama ilikuwa bei juu kulinganisha na ya kwenye calculator ya TRA lazima bei itaongezeka..
 
Umeambiwa angalia CIF ya kwenye Invoice yako acha kukariri..

Kama ilikuwa bei juu kulinganisha na ya kwenye calculator ya TRA lazima bei itaongezeka..

Sasa nakariri nn ?naona Hulewi ata nlichoandika pita kushoto
 
Usisahau kuleta mrejesho.
 
Umeambiwa angalia CIF ya kwenye Invoice yako acha kukariri..

Kama ilikuwa bei juu kulinganisha na ya kwenye calculator ya TRA lazima bei itaongezeka..
Asante kwa kunisaidia nilikuwa nawaza namna ya kuanza kumuelekeza upya mheshimiwa hapo.
 
Usisahau kuleta mrejesho.
Kaka asubuhi hii..
Nimemkuta mshikaji na nafikiri alivoniona tu akajua sikuja vema ivo alikua mpole sana..

mosi.. alisema ushuru umepanda ni uongo akasema walikosea TRA kumwambia
Pili sasa akaanza sound pale port clearance imepanda...
TBS imepanda..
-usajir wa kupata no umepanda
-Yan ivo vikorombezo vyote vya kwenye profoma invoice vimepata ikabidi nitoe kwanza embassy cigarette nivute...nipomaliza nikamwambia bro unajua mpk nanunua hii gar nimedunduliza toka miaka mitano nyuma nipo chuo so nakupa pesa tuliongea awali na ninakata ya ushuru iliyopungua TRA nikamuhesabia hapo hapo nikampa mpunga nikamuuliza saa ngapi niijie gar akasema jion ntakupigia.. Nikasepa ntareta jion mresho na ndinga
πŸ˜…πŸ˜…
 
walishangaa discount kanipa kubwa sana hata wao huwa hawapewi so ilikua baht tu.
Walikujaza upepo ty ili uendelee kuw mteja wao... Kiufupi autocom hiyo dsicount ndio wanayotoaga, maana ukiji register tu wanakuoa discount ya dola 100, na baada ya hapo kuna discount ya dola 300 hiyo ni uhakika ndio inakuja hiyo 400! Baada ya hapo utaendelea kula disc za dola 300! Jamaa wapo vizuri gari zao nzuri na bei ni cheap sana! Mm ninayotumia pia nilichukua kwao! Kuagiza ni uoga tu wa watu.. Hongera sana mkuu
 
Safi sana.
 
Mimi Nimetembelea web yao jana nikaona bei yao iko juu kidogo. Magari mengine hawaandiki bei mpaka uulize. Mbaya zaidi wana magari machache sana. Ila magari yao mengi yako kwenye hali nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…