Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #81
Achana na yard ujanja ni kuagiza gar ya mwaka 2002 tofaut na 2004.... 2005 tofaut na 2006 kuanzia bei mpk ushuru mkuu we umeagiza af hujui hizi mambo ama wewe ulipick tu moja iyo iyo.....izo rim ni size ngap nikitaka gar iwe jujuu kidogo tyre size ngapi.?
Hongera mkuu,kumbe AUTOCOM wapo vizuri
Umeambiwa angalia CIF ya kwenye Invoice yako acha kukariri..
Kama ilikuwa bei juu kulinganisha na ya kwenye calculator ya TRA lazima bei itaongezeka..
Anaetupiga ni nani TRA auJamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur
Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m
Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m
Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....
Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa
Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza [emoji23][emoji23][emoji23]
MREJESHO: ndinga nimetoka kuichukua usiku huu apo water front bandarini ipo poa kuliko ata nlivoiona kwenye picha ila tbs wamesema tyre zime expire ivo nibadili ndo nipate usajir kwa sasa ntatembelea chassis number ndan ya wik mbili niwe nimebadili na kupewa numba....
Jamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur
Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m
Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m
Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....
Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa
Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuuMkuu yako kali sana dah...Sbt zao mechokachoka sana upo sawa mkuu.
Nimeagiza Sbt toka 9/4/21 gar imefika 13/7/21 af wamekuja kuniambia 20/7/21 af wananiambia nilipie storage sh 25000 per day kuanzia 13/7 mpk nitakapo toa kwa hili ntakwenda petrol ofisin kwao kitakachotoa kitakua mjadala humu.
Profoma mpka kufikisha gar apa ni 12,500,000 af wananiambia et ushuru umepanda niongeze la lak Saba hiv wakati nikiangalia TRA calculator inanionyesha ushuru umeshuka sana pind naagiza ulikua 6.6m leo ushuru ni 6.1m kwa ist ya 2006 af mjomba ananiambia ushuru umepanda sijui aniona mi wa maporini mzee leo sikukuu kesho asubuh sana ntakua ofisin kwao na kidumu changu cha lita 5 kitakachotoa hakitakua Siri kama hakutakua na maridhiano [emoji1545][emoji1545]
Wanajitahid sema gari chache, na wakishusha gari hazikai tofauti na kampun zingine kuna gari nikicheki beforward toka april mpaka leo ipo[emoji23][emoji23]
Mzee kuna assessment documents lazma upewe kutoka tra lazma unwambie agent ako akutumie inakua pamoja na control no. Kama unampa agent afanye kila kitu ndo kosa linakua hapo wengi wanapigwa
Anaetupiga ni nani TRA au
Mawakala
Kwani huwezi kuagiza mwenyewe bila kuwatumia mawakala
Nakubaliana na wewe mkuu hawa maagent wanatupiga sana.Jamaa Acha ushamba hawa jamaa wanatupiga sana sasa ngoja nikupe mrejesho vizur
Mwezi wa nne kipindi naagiza TRA calculator ilisoma 6.6m
Mwezi wa Saba ilivofika TRA calculator ikasoma 6.1m
Lakini kwenye document nlizopewa za TRA jamaa kalipa ka 5.4m....
Apa mnaambiana et ist mpk mlangoni kwako 15m nacheka tu kizungu aisee magar bei rahis ila kichwakichwa unapigwa balaaa
Mwenzenu nimepata soma sana kuagiza [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubaliana na wewe mkuu hawa maagent wanatupiga sana.
Kuna gari niliagiza ilikuja na CIF kubwa (USD 3,760) kulinganisha na ya TRA iliyokuwa USD 2765 na kodi ilikuwa 7.537,531 na kodi ilibaki ile ile iliyokuwa imekadiriwa na TRA.
Tatizo linaanza pale unapoagiza gari kupitia kampuni isiyowaaminifu na kumpa agent hela afanye kila kitu. Wakati inatakiwa kodi ikitoka akupe ulipie, TBS akupe Control no. ulipie mwenyewe sio kumpa mzigo wote.
Kweli mkuu ndio maana mawakala wa kuagiza magari wamekuwa wengi, wanajua Watanzania wengi ni tunapenda kitonga (Spoon feeding).Af iyo ya Kwenye TRA calculator uwa ni makadilio tu ya juu kiuhalisio unakuja kulipa ya chini sana aisee.....wametunyoosha sana