Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Hauwez niuliza kwa kejeli nikakujibu kwa heshima.Acha story nyingi,unafanya biz gani?
Mbona ni swali rahisi tu
Hauwez niuliza kwa kejeli nikakujibu kwa heshima.
Anyway..nina kampuni ya kum-bebisha dada yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
HII KOMENTI NI YA KIBWEGE NA IPUUZIWE HII!!!Umesahau kitu cha umuhimu sana.
16. Uchawi.
Mtu asiyefanya biashara hawezi kufahamu hii kitu kama wewe ni mtu wa Mungu achana na biashara.