Mrejesho Baada ya Kuomba Ushauri

Mrejesho Baada ya Kuomba Ushauri

SOORI MBISE

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
152
Reaction score
106
Watu wengi hapa JF wamekuwa wakiomba ushauri wa namna ya kuanzisha au kuboresha shughuli mbali mbali za kiuchumi. Lakini watu wengi wanaomba ushauri ns wakisha upata huwa hawana kawaida ya kutupa mrejesho wa mafanikio au kutofanikiwa. Sasa ni wakati muafaka kwa watu kutupa mrejesho wa yale walio tushirikisha iliili wengine wajifunze. Kitu ninacho ona hapa nahisi wengi wetu huwa hawamaanishi kile wanachotushirikisha. Wengi wanakuwa ni watu wa keybord tu na siyo watu wa action.
 
SOORI MBISE hakika hapo juu umenena.....na ninchoweza kusema ni kwamba kwa namna moja ama nyingine ninaweza kusema ya kwamba watu wanatafuta umaarufu humu.......sipendi yaniiiiiiii!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom