Mrejesho: Biashara ya FOREX kama nllilivyoshauriwa na @ontario

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau kwema??

Humu jamvini kuna Uzi mzuri na wenye mafundisho mazuri ya ujasiriamali ambao bro ONTARIO aliuanzisha kwa ajili ya kufundisha biashara ya fedha za mataifa mbali mbali. Sasa sijui nilimwelewa au nlipotea maana baada ya kuusoma nlianza kufanya simpo investigation kwa makampuni ya Vito na wauza dhahabu pamoja na mabenki kama matano hivi matatu yakiwa ya kimataifa, nlipitia na wauza madini makusudi maana nliwai kwenda kuuza mzigo pale kisutu nkakuta jamaa kafungulia mtiviii mkuuubwa anaangalia tu kupanda na kushuka kwa currencies mbali mbali kwe masoko tofauti kwa wakati ule nlimuiza ndo nini hyo akaniambia anaangalia bei ya dhahabu kwenye soko la dunia nkaona poa, sasa wiki iliyopita nlimrudia tena kumuulizia kwa undani zaidi sasa anielezee kuhusu hlo la kupanda na kushuka kwa currencies ameniambia ni biashara nzuri nkimpata mtu anaeelewa dunia inaendaje kuanzia kiuchumi, kijamii na hata kisiasa akanipa mfano wa north Korea unavyomsumbua katika prediction maana this business is mainly on prediction of the future.

Sasa hapo tuliongea mengi sana na hata duka jingine la Vito lipo samora ni kama wana same idea ivi wanapishana tu kdg kwenye source of information, kwa mfano unaeza ukawa Wewe unadili na wall street pekee lkn huna information ya zile za UK au Asia countries.

Baada ya hapo nkafanya uchunguzi wangu kwenye mabenki na nlidili sana na Yale ya kimataifa sasa sijui walinizidi maarifa au maana sikuambulia kitu na nlizama mpk inside kabisa, haya ya kwetu wamekomaa kwenye kubadili tu currency asubui bei nzuri kununua dola kwa mfano jioni bei nzuri kuuza au wanacheki currency iliyo na mzunguko mzuri, wakasema wapo local businessman wanapiga hyo like Manji et al.

Kwa sasa bado naendelea kufuatilia ntawaletea update baada ya kupata conclusion ya hii business ila kwa nlipofikia ni nzuri kuifanya ila unatakiwa uwe na right information at right time otherwise itakula kwako. Thanx to all kwa ushirikiano and sorry bro ONTARIO kama ntakua nmekukwaza popote
 
Mkuu Lengo la utafiti wako ni nini? Unataka kujua Kama Ontario anaingiza watu chaka?
 
Mkuu Lengo la utafiti wako ni nini? Unataka kujua Kama Ontario anaingiza watu chaka?
No nmeipenda hii biz ila kabla ya kuingia nlitaka kujiridhisha kama kwa upeo huu nliopata naeza ifanya nkagundua inahitaji umakini na kujitolea kwa hali ya juu pia inahitaji usiwe na kitu kingine cha kukueka bize. BTW bado naendelea kuifanyia utafiti though sijajaribu kumuiza ONTARIO chochote ili nisimkwaze
 
Kuna fursa moja hivi naifuatilia ikikaa sawa ntawahusisha wanajamvi, inahusiana na hizi stock markets.
Thanx kiongozi pia ifanyie research kabisa
 
Kwa sasa bado naendelea kufuatilia ntawaletea update baada ya kupata conclusion ya hii business ila kwa nlipofikia ni nzuri kuifanya ila unatakiwa uwe na right information at right time otherwise itakula kwako.
Hapo kwenye bold, Ukiongeza na Analysis ( Fundamental au Technical ) ukabaini wakati gani uingie sokoni (U_short/ U_long) na wakati gani utoke (Exit Trade), kwa currency pair sahihi (Strongest vs Weakest) Baasi utakuwa umefanikiwa kufanya hii biashara.
 
Na ndo siri kubwa ya hii sasa unatakiwa mda mwingi uwe una refresh kuangalia ups and down
 
Na ndo siri kubwa ya hii sasa unatakiwa mda mwingi uwe una refresh kuangalia ups and down
Traders wana msemo huu "Tumia muda kidogo kufanya trade, na tumia mda mwingi kujifunza/ kusoma",
Ambapo Trade moja tu inakupa mavuno makubwa, hapa kwa wadau wa NFP (NFP Traders) wananielewa vyema.
Tusonge mbele mkuu
 
Chanel za bbc business, Bloomberg business, cgtn business, fox business na nyinginezo
Mwenye kujua chanel zaidi atupe apa kwa platform
 
hii biashara ni vizuri uifanye manually yaani uende kwenye bureau de change ununue dollar zako usubiri ziande uziuze
Unataka kuturudisha enzi za mkololoni, ndio maana siku hizi hutumi barua posta bali unatuma ujumbe kwa simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…