Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Wakuu habari .
Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu.
Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi. Nilifanikiwa kutafuta watumishi wa kiroho na kumuombea sana.
Kiukweli hakuna nafuu iliyopatikana mpaka sasa wakuu.
Isipokuwa Kwa binti ni Kama hali imetulia japo sio asilimia 100% ni Kama hali inatulia na inarudia.
Jana niliwapeleka hosptali ya mkoa wote wawili na nimeshauriwa Kama kuna uwezakano niwafikishe Dodoma Milembe.
Hivyo naona nimeamua kuendelea na hii hatua.
SOMA
- Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu