jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Hapana huko kilabuni kuna simba na yanga kimbilia chooniBaada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake,kumbe yupo humu na ameona uzi wangu ,muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani leo atakuja home kwangu nimtoe kilazima ,,
Nikimbilie wapi au niende club?
Msubiri umtoe!Baada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake,kumbe yupo humu na ameona uzi wangu ,muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani leo atakuja home kwangu nimtoe kilazima ,,
Nikimbilie wapi au niende club?
Mimi huwa najiskia vibaya sana mtu mzima anapodiriki kusema uwongo mchana kweupe bila woga wala aibu!unaopata nini?Yaan dunia ya leo mtu aombe kutolewa bikra?grow up!labda awe na ile ya gundi ya kichina ameiweka vibaya inamsumbua hata kupee hawezi,lakini zote huyo hana!Baada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake,kumbe yupo humu na ameona uzi wangu ,muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani leo atakuja home kwangu nimtoe kilazima ,,
Nikimbilie wapi au niende club?