Unauhakika kua ni bikra isije akataka akutoe weweBaada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake Dada anataka nimtoe bikira yake kumbe yupo humu na ameona uzi wangu, muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani leo atakuja home kwangu nimtoe kilazima.
Nikimbilie wapi au niende club?
na kweli ni KUJI22MUAHahahaah nilikuona ulivyokuwa unajitutumua. Wenye timu yao hawakuwepo
Hapana huko kilabuni kuna simba na yanga kimbilia chooni
Kula chumaBaada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yakeDada anataka nimtoe bikira yake kumbe yupo humu na ameona uzi wangu, muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani leo atakuja home kwangu nimtoe kilazima.
Nikimbilie wapi au niende club?