Mrejesho: Hatimaye nimejilipua

Mrejesho: Hatimaye nimejilipua

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
519
Habari zenu wandugu

Baada ya kuwa nimepitia thread mbalimbali hapa jukwaani hasahasa zinazohusiana na masuala ya ujasiriamali, zaidi nilijikita sana katika zile zinazohusiana na biashara ya vifaa vya ujenzi. Niliweza kupata elimu kubwa kuhusu jinsi ya uanzishwaji wake, changamoto zake pamoja na mtaji wa kuanzia nilifanyia kazi elimu hiyo hatimaye nimeweza kufungua duka la hardware huko maeneo ya Goba. Shukrani za pekee zimwendee mkurugenzi wa b2b venture bila shaka anausoma uzi huu, kwa kunipa moyo wa ujasiri hatimaye na mimi kuwa na biashara ya ndoto yangu pamoja na wana jf wote.
Mwisho nawakaribisheni nyote

*****Lets all take risk and practise our dreams***""

*****
 
Back
Top Bottom