Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Shida ya wanaume mkifanyiwa mnaona Kama mmekosewa sana akati mmetufundisha wenyewe

Hongera pia kwa kuweza ku control hasira zako ndo uanaume huo kuweza kuhimili

Na huo ni mwanzo tu utasema tu bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]

Men are selfish...except you my friend[emoji1787]

[emoji1]uselfish ndo kitu sikipendi na niko shot en clear bas drama ndo staki kabsa, long distance relationship ndo kitu staki ata kuskia huo upuuzi,
Kama wiki imepita mwanamke ananiambia aliandika barua aliomba kazini kwake likizo anakwenda iringa kuendelea kusoma sjui degree yake yamavitu gani nilichomjibu nilimwambia Amani ya Bwana iwenawe [emoji23] nikaondoka skutaka mambo mengi kabaki kantolea macho haelew
 
Mkuu mwanamke wakutomber peke yako utampata wapi! Si wenzio now hatuna wivu kabisa, maana sisi wenyewe sio waaminifu
 
Mkuu hongera sana kwa maamuzi uliyofanya, Ila changamoto bado ipo pale pale, Sidhani kwa dunia ya leo kuna wanawake waaminifu kabisa 100%, coz sahv utatafuta mwanamke mwingine ambaye ni X wa mwanaume mwingine na hujui sababu iliyowafanya wakashindwana na mtu wake, so cycle ni ile ile

Me nnapoelekea naona akili yangu ishaanza kukubaliana na huu ukweli, so napambana mwanamke ntayefanya naye maisha at least anizalie watoto wa damu yangu.

Haya mengine nishakubali sitaweza kuyazuia.Naifanyia training akili yangu kwa maslahi ya afya yangu. Sitaki niruhusu kuumizwa na mapenzi
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]

Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
 
Mkuu hiyo principle yako itakusaidia sana kuishi kwa amani
 
Mkuu umeongea ukweli kabisa.

Kwa nchi za ughaibuni watu wanao lindwa sana na sheria ni watoto, wanawake na mashoga.

Hasa hasa nchi za Ujerumani na Marekani.

Yaani hata kuwaongelea vibaya tu ni kosa.
 
Mkuu mwanamke wakutomber peke yako utampata wapi! Si wenzio now hatuna wivu kabisa, maana sisi wenyewe sio waaminifu
Mkuu nakubaliana na wewe [emoji1307], Inabidi watu wajifunze ku control wivu wachukulie ni kawaida demu kuliwa kama ilivyo kwa malaya kuliwa na kila mtu na usimuonee wivu

Kufikiria kumpata mwanamke ambaye utakua unamla peke yako ni kujidanganya
 
Pole mwaya
 
Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Na wewe ni mmoja wetu? [emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
Sasa toka lini dawa ya moto ikawa maji? Yeye aanzishe mahusiano mapya huko, huku Mimi nimtunzie? Kwa sababu aliniumba yeye?🀣🀣

Afu inakujaga tu automatically, ukianza kucheat, nature huwa inamletea mtu wako watu wa kumuimbisha Ili mzani ibalance🀣 Rejea law of equilibrium 🀣🀣🀣
 
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
Mkuu usipanic kwa dunia ya leo ndo mtindo wa maisha ...wanawake kwa wanaume wanasalitiana, we unaweza ona wa kwako ametulia lakini huko behind the sceen wahuni wanajipigia ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…