Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Kaka Mkubwa sema kweli, all that time hukuteleza hata kidogo?🤣🤣
Simaanishi mkiwa karibu haiwezekani kuteleza, Ila Kwa long distance possibility ya kuteleza na kutumbukia huko huko ni kubwa🤣, unateleza Kwa Uhuru Yani....

Msimamo wangu ni ule ule.."Ili long distance relationship idumu inabidi wote wanne muwe serious" by mdau wa Jf (nimemsahau jina).....tena naongezea na mjizime data🤣🤣🤣
 
Usije thubutu kumsikiliza au kumrejesha, wanaume hatufanyi huo ujinga, akakae na Mbwa qliyemtoa chupi, nachukia sana wanawake washenzy.
 
[emoji23][emoji23] kuteleza kupo but it’s not because the long distance made me do it, it’s because i choose to do it.
 
Wenye mavifua yao ya kutuna hawasimlii simlii kila kitu bana sema ulikasirika tu km mwanaume wa dar basi
Kama ww ni ke basi na wewe ni mshenzi naona unatetea upumbavu.. Hujiheshimu wala kujitambua.
 
Wewe ndo mwanaume sasa, me huwa nacheka sana nikiona eti mtu anafanya kazi dodoma alafu mara aseme ana mchumba dsm ni upotevu wa muda na resources
 
Wapo wanawake waaminifu 100% lakini ni kwa uchache sana,Cha kushangaza wanapata wanaume wasioeleweka
You hit the point, huyu Mungu ana siri sana, yaani ukiwa mwaminifu unapewa chakaramu, imagine Mungu angewakutanisha wote machakaramu nadhani maisha yangekua magumu sana
 
Kwa kweli, na maisha ni matamu watu kama nuir mkiwepo maana stress zinapungua
Tukidakwa tunachezea kichapo tusipodakwa tunaendelea tulipoishia....mme wako akienda tu kariakoo kupokonya mizigo ya machinga si tunadinya
 
umetisha sana Uncle💪

hivyo ndivyo Mwanaume Kamili anapaswa kufanya uamuzi.
short and clear in peace.

ingekua mwanaume suruali au wa dar angempasua mbaya sana halafu analala mbele atakamatwa baadae...

Uncle ninakuombea,
katika hali hiyo uliyonayo ya mabaki ya uchungu na hasira nafsini mwako dhidi ya demu agenti,

Baraka na Neema za Mungu zikawe katika nyendo zako za kusaka mchumba mrembo na mwaminifu kutoka kwa Mungu.

Kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu,

Itikia na ''ikawe kadiri ya mapenzi ya Mungu" Amen 🙏
 
Tukidakwa tunachezea kichapo tusipodakwa tunaendelea tulipoishia....mme wako akienda tu kariakoo kupokonya mizigo ya machinga si tunadinya
Point yangu hapo juu nilimaanisha maisha ni matamu tukiwa na watu wenye comedy kama nyie, i didnt mean kwamba watu wanaoiba wake za watu, hilo siliafiki, napinga kwa miguu na mikono, tafuta wa kwako
 
Kama ww ni ke basi na wewe ni mshenzi naona unatetea upumbavu.. Hujiheshimu wala kujitambua.
Wewe ndo ungejua ufanye maamuzi kiume yaan na watu wako wa karibu na sio kutusimliiia mara love bites mara kile afu useme una kifua cha kutunisha thubutuuuu
 
You hit the point, huyu Mungu ana siri sana, yaani ukiwa mwaminifu unapewa chakaramu, imagine Mungu angewakutanisha wote machakaramu nadhani maisha yangekua magumu sana
Na wewe ni muaminifu eeh [emoji848]
 
Wewe ndo ungejua ufanye maamuzi kiume yaan na watu wako wa karibu na sio kutusimliiia mara love bites mara kile afu useme una kifua cha kutunisha thubutuuuu
Yaani mimi kabisa nikakae nianze kujisemesha kwa rafiki zangu au ndugu zangu eti mwanamke wangu amenisaliti,Niwaambie kina masawe huyu amenisaliti? Aisee kuna vitu vya kuwaambia ndugu lkn si usaliti yaani nikae na ndugu zangu tunajadili ujinga wa mtu? Ode lawe nke isembo indo ndi.. Nke wa Mashami(Machame) te
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…