Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb.
Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri kumfahamu Ila akasema ata yeye miaka ya 1984 Ndo alitoka gereza la musoma na kwenda gereza la kiabakari tokea hapo hana Tena taarifa yoyote juu ya Mzee.
Tulienda mbele zaidi na sasa tunaangaikia eneo alilokuwa anatokea mtwara mjini mungu akisaidia tutakuja apa Tena.Pia ahadi yetu ya Tsh 500,000/ ipo palepale atayeleta taarifa sahii ya Mzee Michael Juma,au Mwanae Ana ambaye tumumzungumzia apa au ukoo wake