Mrejesho kikao cha mabaharia juu ya suala la Hamida

Joined
Sep 22, 2018
Posts
74
Reaction score
124
1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi

2) Ndugu yetu aliyepata mkasa huu tutamtafutia wanawake watano wazuri zaidi kisha tutamuozesha kwa gharama zetu.... Hii tunataka tumwambie kuwa maisha yanaweza kuendelea bila hamida

3) Mikoa mitano ipo chini ya uchunguzi maaana inasemekana kuwa Hamida ametokea kati ya mikoa hiyo nayo ni Rukwa, Mtwara, Kigoma, Singida na TANGA

4) Sisi Kama mabaharia tumeamua kujenga sanamu la Hamida kama kumbukumbu ya kutuumiza maaana haijawahi kutokea mtu aliyeweza kututingisha kama alivyofanya hamida

5) Tutakutana tar 2/3/2020 kwa ajili ya tathimin ya maazimio yetu
[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hawa Mabaharia wanao ishi nyuma ya Airport, wanatuangusha sana.
Hahahaaa siyo kwa kugalagala kule
 
1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi

2) Ndugu yetu aliyepata mkasa huu tutamtafutia wanawake watano wazuri zaidi kisha tutamuozesha kwa gharama zetu.... Hii tunataka tumwambie kuwa maisha yanaweza kuendelea bila hamida

3) Mikoa mitano ipo chini ya uchunguzi maaana inasemekana kuwa Hamida ametokea kati ya mikoa hiyo nayo ni Rukwa, Mtwara, Kigoma, Singida na TANGA

4) Sisi Kama mabaharia tumeamua kujenga sanamu la Hamida kama kumbukumbu ya kutuumiza maaana haijawahi kutokea mtu aliyeweza kututingisha kama alivyofanya hamida

5) Tutakutana tar 2/3/2020 kwa ajili ya tathimin ya maazimio yetu
[emoji124][emoji124][emoji124]
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo sanamu la hamida litengenezwe Kama mtu aliyenyongwa ili kuonesha kwamba hatuta intertain Tena hujuma aliyofanyiwa mwenzetu. Yaani amesomeshwa halafu anamkimbia baharia adhabu yake ni kunyongwa tu.
 
Back
Top Bottom