MREJESHO KUHISU USHAURI W NINI NIWEKE MBADALA YA M PESA

baby nillaah

Senior Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
110
Reaction score
64
Nashukuru kwa ushauri wenu wa nini kingine niuze katka ofisi yangu y mpesa nashkur wateja saiv napata lakin tatzo .....n kwamba lain zangu wamenicheleweshea sana mpaka sasa so nauza maji,soda,maziwa mtindi ,....nashkur mung napata wateja but shida n hizo lain je nifanyeje nizipate kwa urahisi coz process zote nilifuata wengi wananambia kuwa natakiwa kusubir baaada y miez kadhaa ,,,,,nifanyeje nizipate haraka???
 
Kiukwel hyo hali hata Mimi iliwah kunikuta yaani unakuwa na mtaji halaf unasubiria laini hadi mtaji unaisha kwa matumiz mengne.Huwa inakera hadi basi.
Sasa Mimi ushaur wangu jaribu kwenda kwenye ofisi za Max malipo na Selcom nimeambiwa ila sina uhakika kwamba Wana mashine ambazo zinafanya miamala yote.na Bei zao ni za kawaida tu Kati ya laki 2 hadi laki 3 kununua mashine na Kuna pesa nyingne utaongeza Kama mtaji wako.
 
Nami hili limenikumba, nimeomba line mwaka jana mpka leo hazijatoka
 
Jamani Nina mashine naziuza kwa bei ndogo kabisa njoo uzichukue ni mpya kabisa
1.camera nikon d3500 laki 8 mpya tu INA miezi mitatu tu lisit zipo
2.photocopy machine coloured 900k mpya kabisa tangu ninunue sijawahi kubadilisha wino ila uliisha so wewe ni kujaza tu wino ina miezi mitatu tangu itoke dukani lisit zipo
3.laptop cerelion HP mpya kabisa na haipati moto unapoitumia life battery 5hr -7hrs usipoingia internet RAM 4 BEI LAKI 4 MPYA KABISA lisiti zipo ina miezi mitatu kasoro
5. Mashine ya umeme mpya kabisa selcom bei laki 400000 haina shida ukiwa unauzia umeme kwa siku lazima ulaze 10000+ ukiwa unakata na ile miambili ya juu ukizoeleka fresh

Naviuza hivo coz ninavyo vingine biashara nilivyoidhania kwenye hivyo vitu inaenda sivyo ndivyo kulingana na hii location

So kama unahitaji vyote sawa au kama unahitaji kimojawapo nitafute kwa namba 0673320147

Napatikana ILALA-DSM
 
CHUKUA 200K for PC
&
200K for SELCOM MACHINE.
 
Hujafuata procces mkuu bado moja tu wape pesa

Back
Top Bottom