Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

Joined
Dec 11, 2020
Posts
60
Reaction score
157
Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao.
Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama.

Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye kichwa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

NAOMBENI USHAURI NIMEMFUMANIA SHEMEJI YANGU.

Baada ya kushare humu na ninyi hilo Jambo nilipata ushauri mwingi Sana wengi wakisema nimwambie rafiki yangu ili kumwokoa kwenye risky ya kupata Maradhi huku wengine wakisema Mambo ya ndoa ni ya wapendanao so nisiwe chanzo Cha migogoro katika ndoa yao hivyo nikae kimya.

Nikiri tu nilijikuta nipo kwenye wakati mgumu Sana nilifunga na kuomba kuombea ndoa ya rafiki yangu huku nikiingiwa na hofu kubwa kuona kumbe Kuna baadhi ya wanawake unaweza kujisacrifice kwake kwa kila kitu lakini bado akacheat.

Siku kadhaa mbele Kuna matatizo yalitokea kwa upande wangu ambayo ilinilazim nirudi Tanzania, ndipo nikapata muda wa kuweza kuona face to face na rafiki yangu.

Siku hiyo tumeonana nilikwenda kwao na kuwakuta wote yeye na Shemeji yangu nilipokelewa vizuri tu, lakini pia nikajipa kazi ya kuchunguza jinsi wao wanavyoishi.

Kusema kweli niliona ni Moja ya wanandoa wanaoishi kwa furaha kubwa Sana mpaka mwenyewe nikajishtukia maana Ile furaha yao ilinishangaza sana. Lakini kujifunza kitu kipya: kumbe kwenye ndoa Kuna ku-fake kwingi kiasi hicho.

Basi siku ya kwanza ilipita, ya pili ikapita, ya tatu ambayo ndio nilipanga nitoke na kukaa chemba na rafiki yangu ili niweze kubadilishana mawazo na kutaniana kidogo then nisome mazingira Kama ni rafiki nimwambie kuhusu mke wake, ghafla asubuhi akahitajika kwenda kazini kwake kwa maelezo kuwa Kuna Jambo haliko sawa linatakiwa kutatuliwa na yeye.

Basi aliniaga na kuniahidi atarudi mapema then tutatoka lakini naona Mambo yalikuwa ni mengi Sana akanipa taarifa kuwa atachelewa kurudi, kweli alirudi kwa kuchelewa sana.

Hivyo sikuweza kuongea naye na kumuambia kitu chochote kuhusu mke wake. Mimi pia nilipata dharura ya kutakiwa mkoa jirani siku ya kesho yake hivyo asubuhi niliondoka lakini nilimwambia nitarudi baada ya wiki Moja.

Nikiwa nimeondoka nipo mkoa jirani rafiki yangu aliniambia Kuna research mbele yake ambayo inawazalimu kwanza wapime Afya zao mke na mume lakini alipomshirikisha mke wake kuhusu kupima Afya mwanamke alikataa[emoji17].

Taarifa ya Shemeji kukataa kupima ilinishtua Sana nikajua tayari Mambo yameharibika, nilimshauri kwanza akapime yeye, kweli rafiki yangu alienda kupima na kukuta yupo salama. Aliponiambia yupo salama nilimshukuru Sana MUNGU hakika MUNGU yupo na waja wake.

Case ikawa kwa Shemeji, nikamwambia rafiki yangu Kama Shemeji amekataa kupima tumia njia mbadala zikatafutwa dawa za usingizi akapewa mwanamke bila yeye kujua alipo lala Basi jamaa akachukua damu na kumpa doctor aipime.

Majibu yakaonyesha mwanamke ameathirika tayari, jamaa alipanic lakini doctor alimtuliza Sana na kumuweka sawa huku akimsihi amshukuru Sana MUNGU yeye yupo salama.

Kwahiyo willing yangu ya kumsimulia rafiki yangu kuhusu mke wake kusariti ziliishia hapo naona MUNGU aliamua aingilie Kati na kuniepusha kwenye chanzo Cha migogoro na chuki maana ningemwambia kuwa mke wake anamcheat Sijui angepokeaje huenda urafiki wetu ungekuwa rehani.

USHAURI:

Wake kwa waume Kuna watu wame sacrifice Sana kwenye mahusiano yao mpaka ndoa wameshindwa kufanya Mambo yao ya msingi na wengine wamepoteza hata watu wao wa karibu au hata kazi kwa ajili ya couple zao.

Ebu tuwe na ubinadamu Sana hao watu tusiwa stress tujali na kuheshimu michango yako inauma Sana mtu unajitoa Sana kwa ajili ya Fulani alafu mwisho wa siku unamsariti na kumstress matokeo yake yanawaathiri na wengine kwani Kuna kumbukumbu za matukio hazifuti kwenye vichwa vya watendwa.

Huo ndio mrejesho wangu kwenu.

Jamaa amekataa kabisa kuendelea kuishi na huyo mwanamke lakini Wana watoto tayari.

MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI

Ahsante Sana [emoji120].

Pia soma:
Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu
 
Duu shemeji kapata mdudu ,iyo kitu isikie tu sio issue.Jamaa amshukuru Mungu kapona.

Kuna jambo la kujifunza apo hasa kwa hawa wanawake zetu,sijui tuwape nini walizike.

Mungu tulindie hizi ndoa zetu mana kuishi nao kwa akili tumeshindwa,akili hizihizi zifikilie kulipa tozo,kusomesha,kulea familia,Kodi ya jengo(luku),nk.
 
Sio tu wanawake hata nyie wanaume mnaridhikaga?
 
Duu shemeji kapata mdudu ,iyo kitu isikie tu sio issue.Jamaa amshukuru Mungu kapona.

Kuna jambo la kujifunza apo hasa kwa hawa wanawake zetu,sijui tuwape nini walizike.

Mungu tulindie hizi ndoa zetu mana kuishi nao kwa akili tumeshindwa,akili hizihizi zifikilie kulipa tozo,kusomesha,kulea familia,Kodi ya jengo(luku),nk.
Ndoa ngumu Sana MUNGU awasaidie Wana ndoa kwa kweli.
Wanaume Sijui tufanyaje maana unaweza mpa mwanamke kila kitu lakini bado asiridhike.

Hii kitu imeniathiri Hadi Mimi naogopa Sana [emoji24]
 
Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao.
Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama.

Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye kichwa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

NAOMBENI USHAURI NIMEMFUMANIA SHEMEJI YANGU.

Baada ya kushare humu na ninyi hilo Jambo nilipata ushauri mwingi Sana wengi wakisema nimwambie rafiki yangu ili kumwokoa kwenye risky ya kupata Maradhi huku wengine wakisema Mambo ya ndoa ni ya wapendanao so nisiwe chanzo Cha migogoro katika ndoa yao hivyo nikae kimya.

Nikiri tu nilijikuta nipo kwenye wakati mgumu Sana nilifunga na kuomba kuombea ndoa ya rafiki yangu huku nikiingiwa na hofu kubwa kuona kumbe Kuna baadhi ya wanawake unaweza kujisacrifice kwake kwa kila kitu lakini bado akacheat.

Siku kadhaa mbele Kuna matatizo yalitokea kwa upande wangu ambayo ilinilazim nirudi Tanzania, ndipo nikapata muda wa kuweza kuona face to face na rafiki yangu.

Siku hiyo tumeonana nilikwenda kwao na kuwakuta wote yeye na Shemeji yangu nilipokelewa vizuri tu, lakini pia nikajipa kazi ya kuchunguza jinsi wao wanavyoishi.

Kusema kweli niliona ni Moja ya wanandoa wanaoishi kwa furaha kubwa Sana mpaka mwenyewe nikajishtukia maana Ile furaha yao ilinishangaza sana. Lakini kujifunza kitu kipya: kumbe kwenye ndoa Kuna ku-fake kwingi kiasi hicho.

Basi siku ya kwanza ilipita, ya pili ikapita, ya tatu ambayo ndio nilipanga nitoke na kukaa chemba na rafiki yangu ili niweze kubadilishana mawazo na kutaniana kidogo then nisome mazingira Kama ni rafiki nimwambie kuhusu mke wake, ghafla asubuhi akahitajika kwenda kazini kwake kwa maelezo kuwa Kuna Jambo haliko sawa linatakiwa kutatuliwa na yeye.

Basi aliniaga na kuniahidi atarudi mapema then tutatoka lakini naona Mambo yalikuwa ni mengi Sana akanipa taarifa kuwa atachelewa kurudi, kweli alirudi kwa kuchelewa sana.

Hivyo sikuweza kuongea naye na kumuambia kitu chochote kuhusu mke wake. Mimi pia nilipata dharura ya kutakiwa mkoa jirani siku ya kesho yake hivyo asubuhi niliondoka lakini nilimwambia nitarudi baada ya wiki Moja.

Nikiwa nimeondoka nipo mkoa jirani rafiki yangu aliniambia Kuna research mbele yake ambayo inawazalimu kwanza wapime Afya zao mke na mume lakini alipomshirikisha mke wake kuhusu kupima Afya mwanamke alikataa[emoji17].

Taarifa ya Shemeji kukataa kupima ilinishtua Sana nikajua tayari Mambo yameharibika, nilimshauri kwanza akapime yeye, kweli rafiki yangu alienda kupima na kukuta yupo salama. Aliponiambia yupo salama nilimshukuru Sana MUNGU hakika MUNGU yupo na waja wake.

Case ikawa kwa Shemeji, nikamwambia rafiki yangu Kama Shemeji amekataa kupima tumia njia mbadala zikatafutwa dawa za usingizi akapewa mwanamke bila yeye kujua alipo lala Basi jamaa akachukua damu na kumpa doctor aipime.

Majibu yakaonyesha mwanamke ameathirika tayari, jamaa alipanic lakini doctor alimtuliza Sana na kumuweka sawa huku akimsihi amshukuru Sana MUNGU yeye yupo salama.

Kwahiyo willing yangu ya kumsimulia rafiki yangu kuhusu mke wake kusariti ziliishia hapo naona MUNGU aliamua aingilie Kati na kuniepusha kwenye chanzo Cha migogoro na chuki maana ningemwambia kuwa mke wake anamcheat Sijui angepokeaje huenda urafiki wetu ungekuwa rehani.

USHAURI:

Wake kwa waume Kuna watu wame sacrifice Sana kwenye mahusiano yao mpaka ndoa wameshindwa kufanya Mambo yao ya msingi na wengine wamepoteza hata watu wao wa karibu au hata kazi kwa ajili ya couple zao.
Ebu tuwe na ubinadamu Sana hao watu tusiwa stress tujali na kuheshimu michango yako inauma Sana mtu unajitoa Sana kwa ajili ya Fulani alafu mwisho wa siku unamsariti na kumstress matokeo yake yanawaathiri na wengine kwani Kuna kumbukumbu za matukio hazifuti kwenye vichwa vya watendwa.

Huo ndio mrejesho wangu kwenu.

Jamaa amekataa kabisa kuendelea kuishi na huyo mwanamke lakini Wana watoto tayari.

MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI

Ahsante Sana [emoji120].
Well done!
 
vipi hapa tuta apply ule usemi wa "kila jambo na wakati wake" au ule wa "kaa kwa kutulia"?
ila Mkuu wapenzi hawashauriwi juu ya mapenzi yao, wewe ni kuwaacha tu wajichuje wenyewe
 
Sasa kawapelekee mrejesho wale wa group la whatsapp waliotuma picha zake na video kama mchepuko, kikaumane[emoji51]
 
hii ni story ya kutunga bado siiamini..

kama ina ukweli tupe mrejesho baada ya huyo mwanamke kuzinduka na kujua kilichotokea nn kiliendelea???
 
Hujasema nini kimefuata baada ya matokeo hayo
 
hii ni story ya kutunga bado siiamini..

kama ina ukweli tupe mrejesho baada ya huyo mwanamke kuzinduka na kujua kilichotokea nn kiliendelea???
Ndio maana wahenga walisema pa mwenzako pagumu meza mate ulale. Siku yakikukuta ndio utajua ni stori za kutunga au laa.
 
Back
Top Bottom