Mrejesho kuhusu mke wangu week la 42, Am a new dady in town

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Shukrani sana ziwaendee wakuu humu jamvini.

Mwishoni mwa wiki iliyopita nilileta Uzi wangu humu kuhusu mke kuchelewa kujifungua hadi wiki la 41 mwishoni....nilipata ushauri safi na ulionifanya moyo wangu kutulia kutoka kwa manguli wa mambo ya uzazi kupitia humu jamvini[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Asanteni sana wakuu.

Lengo la Uzi nikutaka kuleta mrejesho kuwa jana mnamo majira ya saa 5 usiku mke wangu alianza kuumwa tumbo la uchungu......kidume nilifurahi sana japokuwa alikua alikua anaumwa nilijua anaumwa kwa Heri tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fasta nikatekenya kamkweche kangu (corrola)fasta hospital nakulazwaa hatimaye asubuhii amejifungua salama kwa njia ya kawaida...mtoto wa kike mungu ashukuriwe sana Yani.

Am a new dady in town now.

Shukrani ziwafikie wanajamvi wote.

Nimeplani kumpa jina aitwe LETRISHA .. .....

Sio mbaya kama mtanisaidia pia kumchagulia jina zuri....

NB:jina liwe la kicute maana mtoto mwenyewe ni mcute hatareee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya bana,mi wangu nae kajifungua Jana,nafikiria kumuita kati ya majina haya.Bethany,Epiphany,Amarisa au Monalisa.Labda tushauriane.
 
Haya bana,mi wangu nae kajifungua Jana,nafikiria kumuita kati ya majina haya.Bethany,Epiphany,Amarisa au Monalisa.Labda tushauriane.
Amarisa is the best
 
Hongera sana
Muombe Mkeo achague jina..

Atampa jina kwa Imani moja kwa mtoto wenu.
 
Hongera Mkuu kwa kuwa kuitwa baba.
Usisahau tena hii maana inaweza kujirudia
 
Awww!! kisses to a lil princess Letrisha.
Hongera na pole nyingi ziende kwa mzaa chema.

Congrats a new dad in town.
 
Haya bana,mi wangu nae kajifungua Jana,nafikiria kumuita kati ya majina haya.Bethany,Epiphany,Amarisa au Monalisa.Labda tushauriane.
Kwa nini uhangaike na majina ya ajabu ajabu wakati yapo ya asili mengi tu kama pombe,ngonyani,sungura,mkuchika,ndugai etc
 
Mungu Ni Mwema Sana
Ni Jambo Jema Hilo Hasa Mungu Kukupa Zawadi Ambayo Imeongeza Raha

Majina Haya Yakikupendeza Janice, Madeleine, Dorcas
 
Mungu Ni Mwema Sana
Ni Jambo Jema Hilo Hasa Mungu Kukupa Zawadi Ambayo Imeongeza Raha

Majina Haya Yakikupendeza Janice, Madeleine, Dorcas
Dorcas is the best coz pia ni jina la bibi yake Yani mama yangu
 
Hahahaaa umenifurahisha mkuu sio kwa mkusifia mcute huyo.... haya sasa kila la kheri katika malezii... Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…