Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Faida ya manual car kwa kipindi hiki ni kuwa hamna atakaekuomba omba gari maana 90% ya kizazi cha leo hawajui kuendesha manual!
Kweli mkuu.kuna siku mama mmoja aliniomba nimsogezee gari yake ya manual nikamwambia samahani sijui kuendesha manual gear niliona aibu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji853]
 
Teknolojia Ya Manyo Kwenye Gari ni sawa na analogia kwenye Mawasiliano. Baada Ya Miaka Kadhaa Viwanda Vitaacha Kuzalisha.
 
Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.
Ila mkuu ungechukua ya 1.3L/1.4L manual isio na turbo ndo vina nguvu sana kote kambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…