Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000


Unakauza?
 
Hujui endesha manual.. acha Lia lia
 
Hell no [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Ni kwa ajili ya kwenda kiraracha mkuu.
 
Mzee CC inauhusiano gani na bamzi? Kwamba ukiwa na CC kubwa unafukia tu matuta.
We hujui manual ukiwa na cc kubwa unapita hata na namba 4 ila ukiwa na hizi za cc ndogo lazima uludi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…