Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
hahahha, mie mwenyewe nishasema ni bora nikose pesa ya kununulia chupi nitembee mtupu lakini bundle liwepo na MB ziwepo kwa ajili ya JF ahahahahahahahahaHahaha hahaha hahaha,,,,dah jf sitoki kamwe labda kifo kiniondoe
unataka kuka adapt, hahahahahahahaahHapo mwishoni imebidi nicheke tu, alafu bibie usikute Mungu anakuadhibu kwa kuukimbia U-sister[emoji12]
[emoji15] [emoji15]unataka kuka adapt, hahahahahahahaah
Hahhaaaa haaaaaa yani anatatizo sio bureYaani huyo ni ushuzi mtupu!! nahisi alienda kusoma shule za seminary akafeli akiwa form one term ya kwanza wakati wa mitihani ya midterm hata term hakumaliza ndio maana anaongea kama amekula maharage ya Kolomije
Miss Natafuta ameomba mleta uzi wampe katoto kao kachanga ndio namuuliza anataka kuka adaputi kawe kake?[emoji15] [emoji15]
Kama sijakuelewa vile
Ahaah, nimekupata vyema, sikuelewa sababu ulini-quote badala ya Miss mtafutajiMiss Natafuta ameomba mleta uzi wampe katoto kao kachanga ndio namuuliza anataka kuka adaputi kawe kake?
mnaona sawa katoto ka watu kanavosuffocate humo ndani?unataka kuka adapt, hahahahahahahaah
Mbona husemi vilikuwa na ukubwa gani nikimaanisha mtetemo ili tujue kma ushauri wetu umesaidia kwa kiwango gan.Rudia tena ulete mrejesho
kikikiHahaha hahaha hahaha,,,,dah jf sitoki kamwe labda kifo kiniondoe
kuna muislam ambae hayupo msikitini muda huu?Mwambie aache ujinga.
Akitaka mtoto azae wa kwake.
Ahahah mkuu inaonekana hakuna kitu kinachokukosesha raha kama u-Catholic kuwepo duniani ila ndo hivyo hakuna namna vumilia tu kwani imeshapangwa uwepo,nakuhakikishia tu kwamba unavyoonekana hujapata kuwa Mkatoliki ila unachofanya wewe ni kutafuta umaarufu tu humu.Kujamba ni jambo la aibu sana kama ilivo aibu mie kuiacha dini yangu ya haki na kurudi kwenye U RCCCC
πππππππππππAl Islam huadin ulladhi baasallahu bih.
Seyyidina Muhammad Swalallahu Aleyhi Wasallam.
Bora wammpe tu ya maisha huyo mkaka hajielewagi ana majibu machafuuNaona tayari MODs wamefanya yao kwa Mcharo..,, Hwachelewagi hawa