Duh!!mie nimewahi tumia vumbi la kongo ile kitu noma haitibu tatizo ila inasaidia kuficha aibu kwa mechi za ugenini na nilipata kwa member wa jf humu humu
Naomba wale wote ambao wamewahi kutumia madawa na mizizi ya kimasai na hawa waganga wa kienyeji wasioisha ili kuongeza urefu na unene wa pampu pamoja na perfomance ya kitandani waje hapa jukwaani watupe mrejesho kama kweli wamepata suluhisho la kudumu.
Nia ni kwamba tunataka tujue kama kweli hawa wamaasai na waganga uchwara wa nguvu za kiume kama mizizi yao inasaidia kweli ili nasisi wenye vibamia na perfomance ya dakika mbili tuwahi mapema tukapate tiba tuanze kuinjoi raha ya u-mandingo!
Mkuu vumbi la kongo ndio kitu gani nieleweshe tafadharimie nimewahi tumia vumbi la kongo ile kitu noma haitibu tatizo ila inasaidia kuficha aibu kwa mechi za ugenini na nilipata kwa member wa jf humu humu
[emoji1] home sweet home.Sioni sababu ya kutumia dawa eti ili ukamkomeshe mtu.
Unashindana na ulipotoka? Hautashinda...
I was thinking "How awesome it is to get in and out of your house fast" and I agree with you, you got a point.[emoji1] home sweet home.
Kweli!!! Wanawaibia sana watuNimetumia zaidi ya asilimia 80 hazitibu trust me okoa pesa yako mimi nilitibiwa na mzee mmoja tena baada ya kukaa miezi minne bila kufanya ngono nilikuwa Chaputa mzuri...nkapona kwa dawa ya mzee mmoja sio mganga wala nini ni mzee tu wa miaka km 90 hivi arusha ndani ndani unaweza pona ila sio kwa ndodi,mwaka wala hao wengine wengine kibao wa hapo dar...nimetumia more than 2milion....tatizo la nguvu za kiume sa kwa njia ya punyeto na porno HAWANA DAWA HIYO...wapuuzie au nenda kaliwe pesa zako...
Kat ya vyoote hvho punyere na porno ndio tatzo kwa walio wngKijana wa miaka 20-35 utumie dawa za kuongeza nguvu za kiume Duuuu!!
Uache kula vizuri ukashiba.
Uache kufanya kazi za kutumia nguvu au mazoezi kufanya misuli ipate moto.
Uache kunywa maji ya kutosha ili mzunguko wa damu ufanye kazi vizuri.
Uache kupumzika kwa muda wa kutosha.
Uache kuvaa nguo zinazobana mapumbu au nguo nyingi zinazoweza kusababisha joto kunako pumbu.
Uache kupiga punyeto na kuangalia picha za uchi.
Uache unywaji wa Pombe kupitiliza na Uvutaji wa sigara kupitiliza.
Ulaji wa vyakula vyenye mafuta Sana.
Ukifanya mambo yote hayo sijui hata Kama utakuwa unafikiri habari za nguvu za kiume.
vumbi la Congo au mundende au Kassongo au puturu au Kiboko ya sebene. bado ipo mkuu ! nadhan unanikumbuka bossmie nimewahi tumia vumbi la kongo ile kitu noma haitibu tatizo ila inasaidia kuficha aibu kwa mechi za ugenini na nilipata kwa member wa jf humu humu
mkuu nipigie 0713 92 45 81Mkuu vumbi la kongo ndio kitu gani nieleweshe tafadhari