Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Naomba mrejesho kwa wale mliofanikiwa kupata kazi, kujitolea na vinginevyo kupitia TAESA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi mfumo mpya...register upyaMpka leo sijaitwa kwa training wala interview
Ni huo wa ajira. Kazi.go??? Ama kuna mwingine tena?Sasa hivi mfumo mpya...register upya
Nimejisajil December 2022 unatak kunambia wamrbadilisha tenaSasa hivi mfumo mpya...register upya
Kumbe maisha yanaliwa! Nilikuwa sijue..Kuna MTU namfahamu kala maisha chanzo alipata ajira pitia TAESA lakini muda umepita kidogo
Hii ndio hali halisi. Just Be Blessed.TAESA bhana wazinguaji tu na wapotezaji muda
Waliniambia "Jumatatu njoo kwa training" nikaenda kufika wakaniambia kuna dharura niandike jina na phone number ilikua last year November ndo mpaka leo hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatupotezea tu MBs na muda , wanakula.posho za bure tu
I come with peace
Sisi tumeshapata training january tulikuwa tutafutiwe sehem za internship mpk wa leo.TAESA bhana wazinguaji tu na wapotezaji muda
Waliniambia "Jumatatu njoo kwa training" nikaenda kufika wakaniambia kuna dharura niandike jina na phone number ilikua last year November ndo mpaka leo hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatupotezea tu MBs na muda , wanakula.posho za bure tu
I come with peace
Hili swala la kulipwa ni taesa ndio wanakulipa au taasisi uliyopelekwa ndio inakulipa?Mimi nilipata seheme nikafanya Intern na nikawa nalipwa na Taesa laki na nusu na sehem nliokua nafanyia kazi wakawa wanalipa pia!Na nikafanyiwa evaluation..Kwa upande wangu naona Taesa hawana Shida,kama malipo yanaeza chelewa ila lazima upewe!