Mrejesho kwa waliofanikiwa kupitia TAESA

TAESA bhana wazinguaji tu na wapotezaji muda

Waliniambia "Jumatatu njoo kwa training" nikaenda kufika wakaniambia kuna dharura niandike jina na phone number ilikua last year November ndo mpaka leo hio😂😂😂😂

Wanatupotezea tu MBs na muda , wanakula.posho za bure tu

I come with peace
 
Kama umesoma ukafaulu vizuri kwanini usifundishe chuo tu. Huwez kufaulu vzur ukakosa chuo cha kufundisha....kwanza watakuhombania kama sio chuo chako kukutaka ubaki
 
Mimi nilipata seheme nikafanya Intern na nikawa nalipwa na Taesa laki na nusu na sehem nliokua nafanyia kazi wakawa wanalipa pia!Na nikafanyiwa evaluation..Kwa upande wangu naona Taesa hawana Shida,kama malipo yanaeza chelewa ila lazima upewe!
 
Kuna MTU namfahamu kala maisha chanzo alipata ajira pitia TAESA lakini muda umepita kidogo
 
Hii ndio hali halisi. Just Be Blessed.
 
Sisi tumeshapata training january tulikuwa tutafutiwe sehem za internship mpk wa leo.
 
Mimi nilipata seheme nikafanya Intern na nikawa nalipwa na Taesa laki na nusu na sehem nliokua nafanyia kazi wakawa wanalipa pia!Na nikafanyiwa evaluation..Kwa upande wangu naona Taesa hawana Shida,kama malipo yanaeza chelewa ila lazima upewe!
Hili swala la kulipwa ni taesa ndio wanakulipa au taasisi uliyopelekwa ndio inakulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…