Mrejesho kwa wanaotumia mafuta ya Shea butter

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kama kichwa cha habari kinachosema kwa wale ambao wametumia mafuta ya Shea butter tupeni mrejesho je ni mazuri na kazi ya mafuta haya kwenye ngozi ni nini?
 
Niliyaona ya kawaida tu kama vaseline.
 
Kama kichwa cha habari kinachosema kwa wale ambao wametumia mafuta ya Shea butter tupeni mrejesho je ni mazuri na kazi ya mafuta haya kwenye ngozi ni nini?

I cant stand harufu yake.... Ni mazuri ila mimi nimeshindwa kuendelea kuyatumia. Otherwise ni mazuri
IMG_1604.JPG
 
Back
Top Bottom