Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni mawazo yenu hapo chini naambatanisha na majibu
 
Attachments

  • VID_20241020_222615.mp4
    3 MB
  • VID_20241020_222615.mp4
    3 MB
Kwa hiyo unataka kila mtu awe daktari wa mgonjwa wako kutoka JF? Siri ya mgonjwa ni yake na daktari wake. Peleka majibu kwa daktari wake ukiona ametibiwa haujaridhika omba rufaa nenda hospital nyingine.
 
Daah sijui mgonjwa wako mna mahusiano gani ila I can feel yo pain...
Kuna uzi wako mwingine ndo nimetoka..kwanini usiwe una update kule kule? Kuliko kuanzisha mpya
 
Unapaswa kujua kuwa sukari haina tiba wazungu bado wanauza metformin. They are not serious to find a cure. Cha kufanya, piga metformin, control ulaji na unywaji; na ukubali matokeo, finally, avoid local herbs.
 
Hapa kwenye ulaji na unywaji ndio huwa pagum, rafiki yangu ilimuondoa na nadhani chakula na vinywaji vilichangia pakubwa.
 
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni mawazo yenu hapo chini naambatanisha na majibu
Kijana acha wenge tulia kama una wasiwasi wowote jadili na ma Dr wako kuleta taarifa za mgonjwa humu kujadiliwa wakati uko sehemu sahihi unamkosea heshima mgonjwa wako
 
Polen kwa kuuguliwa.

Sukari , Damu imeshuka na pia Hosp hizo 2 wamekupiga danadana na kukupeleka Muhimbili.

Thats serious Bro!.

Nadhan ana ugonjwa mwingine zaid ya huo, subiria majibu zaidi ya Kidaktar
 
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni mawazo yenu hapo chini naambatanisha na majibu
Mgonjwa ana Umri gan? Sukari kazaliw nayo au kaipat ukubwani?.
Cha kumsaidia Apunguze au awe anatumia kiasi kidogo cha vyakula vyenye carbohydratte kwan kweny mmen'enyeko wake utengeneza glucose inayo upa mwili nguvu sawalsaw n kuonvez sukari mwilin.
Akila vyakula vye protein tu sawa hio hali hutawahi kuisikia kua kapat emergency
 
Unapaswa kujua kuwa sukari haina tiba wazungu bado wanauza metformin. They are not serious to find a cure. Cha kufanya, piga metformin, control ulaji na unywaji; na ukubali matokeo, finally, avoid local herbs.
kwa nini a avoid local herbs?
 
Tiba wazungu watakua nayo sema wa kiingiza sokoni itawaharibia soko la dawa nyingine zinazosaidia kwnye kupambana na sukari ( oral hypoglaecimic agent) na wenyw wanatengenez pesa ndo maana hata tiba wakiipata wanatulia nayo hawaileti sokoni. ATA tiba imekua biashara
 
Back
Top Bottom