malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Yanin mim sitakiUnataka tiba mbadala au?
Hapa kwenye ulaji na unywaji ndio huwa pagum, rafiki yangu ilimuondoa na nadhani chakula na vinywaji vilichangia pakubwa.Unapaswa kujua kuwa sukari haina tiba wazungu bado wanauza metformin. They are not serious to find a cure. Cha kufanya, piga metformin, control ulaji na unywaji; na ukubali matokeo, finally, avoid local herbs.
Ni mtihani hapoHapa kwenye ulaji na unywaji ndio huwa pagum, rafiki yangu ilimuondoa na nadhani chakula na vinywaji vilichangia pakubwa.
Kijana acha wenge tulia kama una wasiwasi wowote jadili na ma Dr wako kuleta taarifa za mgonjwa humu kujadiliwa wakati uko sehemu sahihi unamkosea heshima mgonjwa wakoHabar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni mawazo yenu hapo chini naambatanisha na majibu
Mgonjwa ana Umri gan? Sukari kazaliw nayo au kaipat ukubwani?.Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni mawazo yenu hapo chini naambatanisha na majibu
kwa nini a avoid local herbs?Unapaswa kujua kuwa sukari haina tiba wazungu bado wanauza metformin. They are not serious to find a cure. Cha kufanya, piga metformin, control ulaji na unywaji; na ukubali matokeo, finally, avoid local herbs.