Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

- Fedha inachukuliwakwenye account yako husika - Inakuwa kana kwamba umefanya muamala wa manunuzi mtandaoni.
- Hicho kiasi cha fedha walichochukua, Automatic kinarudishwa kwenye account yako ndani ya saa 48 hadi 72
hapa pia naomba ushauri ni benk ipi unaweza kupata huduma ya kufungua akaunt bila usumbufu kwa on line transaction
nipo Moshi huku kuna CRDB,KBC ,EXIM,KBC ,BACLAYS NA EQUITY BANK
 
Napendelea zaid free ship cost
- Uwe na subiara sana kusubiri mzigo huchukua siku 25 hadi 45 hasa kwa items za chini ya dola 10
muda angalau uwe chini ya siku 21
- Uwe tayari kulipia shipping cost
- Ni kati ya dola 2.5 hadi 8 kwa items za chini ya gram 500, Mzigo unaupata ndani ya siku 15 -21
ila nilitaka kufanya majaribio kwa kuagiza mzigo wa dollar 5 had 10
- Hakikisha unaepuka Free shiping ili mzigo wako uweze kuwahi.
on line transaction
nipo Moshi huku kuna CRDB,KBC ,EXIM,KBC ,BACLAYS NA EQUITY BANK
Chagua mojawapo kati ya hizo bold
- Fika tawi husika ukiwa na kitambulisho chakocha mpiga kura kinatosha
- Eleza shida yako kuwa unahitaji VISA CARD kwa ajiri ya kufanya manunuzi mtandaoni, Utashughuikiwa na ndan ya dakika 15 utatoka ukiwa na kadi iliyotayari kwa manunuzi mtandaoni.
 
MR. MTUI umesema seller ndo anayekupa njia ya kusafirisha, sasa wewe njia ya register unaitumiaje!?
 
baada ya kufungua then nadepoit hiyo fedhaninayotegemea kununulia mzigo
 
Mzawa asilia
baada ya kufungua then nadepoit hiyo fedha ninayotegemea kununulia mzigo
- Ni sahihi, deposit kiasi cha fedha ulichopanga kuanzia.
- Pia waweza kufanya top up kupitia simu yako - kwa kufuata menu husika ya mtandao husika.
 
Mzawa asilia

- Ni sahihi, deposit kiasi cha fedha ulichopanga kuanzia.
- Pia waweza kufanya top up kupitia simu yako - kwa kufuata menu husika ya mtandao husika.
shukran sana kaka nashukuru kwa maelezo yako ngoja nifanyie kazi hili la benk kwanza
kama nikikwama nitaomba msaada zaidi
 
Mwl.RCT naomba naomba utaje tena izo benk make umesema za kwenye bold mi kwangu bold haijatokea.
 
Mwl.RCT naomba naomba utaje tena izo benk make umesema za kwenye bold mi kwangu bold haijatokea.
Nitatumia kigezo cha ukaribu wa customer care pindi upatapo tatizo (Rating ya juu ni 5/5)
5/5 - Equity bank
4/5 - Bank ABC
3/5 - Exim/ Barclay
2/5 - .................
1/5 - .................
0/5 - ................
 
Mkuu mwl rct custumer care mfano bank ya dar siinaweza tofautiana na tawi la mfano Dodoma kwa benki iyoiyo!
 
Mkuu mwl rct custumer care mfano bank ya dar siinaweza tofautiana na tawi la mfano Dodoma kwa benki iyoiyo!
- Kwa swala la miamala, ni department husika ya hiyo benki husika, ndio inawajibika kushughulikia matatizo.

- Na mawasiliano huwa ni kwa njia ya simu au email, ukiwa mahala popote tanzania au nje ya tanzania bila kulazimika kwenda benki, shda yako inatatuliwa kwa wakati - Huu ndio muktadha wa customer care nilio maanisha, Na ni kigezo muhimu pindi uchaguapo benki ya kufanya nayo biashara.
 
Mkuu naomba unisaidie utaratibu huo pasipo kutumia dolla
Wewe cha kufanya ni kucheki dollar kwa kipindi cha manunuzi bank yako wanauza kiasi gani unikinunua tu wao wanakata kiwango cha bei ya dollar mf! Nmb kwa dollar 1 wanauza tsh 2286 so km bidhaa unayaotaka nunua ni dollar 10, watakukata 22,860/=
 
Kwangu nadhani BancABC wako vizuri zaidi kwa sababu wanakupa kadi maalum ya kufanyia miamala tofauti kabisa na akaunti yako ya kuhifadhia pesa
benki nyingi zinafanya hivyo
- Uamuzi ni wa mteja pekee
- Iwapo anataka kadi pekee au pia anahitaji kufungua account katika hiyo benki
 
Kama umepoteza kadi ya benki ya master au visa mtu anaweza tumia hio card kufanya manunuz mtandaoni
 


Ishu si woga bali ni ufahamu wa matumizi ya hizi tecnoljia kama kuna mtu atakwambia nilipe kama gift au family mtu wa namna hiyo muogope au wengine ankwania nipe card details na csc number usijaribu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…