Yah register na EMS wako makini.. Vinavyopotea ni vile vinavyotumwa kwa P. O. BOXPosta yetu wakijiboresha na kuwa waaminifu(maana kuna watu hawaiamini posta kwa vitu vya thamani).....watatengeneza fedha sana kwenye online logistics.
Mjengoni gani tena.....hapana mi mbona nmekupa namba yangu boss nkaona kama w itakuwa shida kunipa yako nkakuomba ww ndo ujicheki unajua hz text naona zinakuwa ngumu kueleza kila jambo ndo maana naona nirahis kumpata mtu na kuongea nae moja kwa moja unapata kujua kwa undaniMmh namba tena usije ukawa ni member wa mjengoni..
Safi sanaUkatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Haya nmekupata... Nilizan ww ni mzee wa magogoni.. Ntakutafuta nikupe details zoteMjengoni gani tena.....hapana mi mbona nmekupa namba yangu boss nkaona kama w itakuwa shida kunipa yako nkakuomba ww ndo ujicheki unajua hz text naona zinakuwa ngumu kueleza kila jambo ndo maana naona nirahis kumpata mtu na kuongea nae moja kwa moja unapata kujua kwa undani
Usisahau kutuletea mrejesho mkuu..Nimetumia 2 year biashara ya mtandao, sasa nina 2 weeks tangu nimetua najipanga kuendeleza shopping katika site kama Amazon, Ebay, 6.pm, Walmart, Alibaba na site nyingine nyingi. Experience ya nje mzigo unaletewa mpanga mlangoni kwako sababu nyumba zote ziko mapped so ku-locate mzigo inakuwa very easy. Tatizo nililosikia zamani kwa nchi za Africa ni kuwa mizigo mara nyingi inafika posta sababu ya changamoto ya zip code, area code, n.k. So wengi walilallamika kuwa mizigo yao iliishia kupotea kwenye ofisi ya posta. Ukipata statement ya delivering kwenye posta ya nchi yako. Jamaa wa posta wantembea nayo alafu wanakujibu bado haujafika/hawajapata..........................so let me try and see the truth
Cha msingi usifungue link ambayo huielewi elewi.. Wala kujibu msg ambayo unawasi was nao...Mimi huwa nanunua mara nyingi sana online kutoka Amazon. Issue ya kuibiwa ilikuwa unanipa wasi wasi sana.
Ninachofanya ni kuwa makini tu na emails za pale nitakaponunulia iwe Amazon, ebay ama Alibaba.
Pia kwa sababu ya uoga, nilifungua account special ninayotumia manunuzi ya online. Nikitaka kununua kitu basi huweka kiasi kinachotakiwa pekee huko. Kawaida huwa situnzii pesa zangu huko (najua ni uoga wangu huo lakini I hope huwa unanisaidia hata kama wadukuaji wakichungulia wanakuta zero).
Mkuu nishafanya manunuzi sana hayo, utapeli kama kupatana tu.Bongo watu hawatapeliwi...?
Mimi ni mzoefu na nimefanya manunuzi sana ebay, amazon na alibaba. Nilichogundua ni kwamba mitandao ya ebay & amazon haiwalengi watu waishio Afrika, labda alibaba yenye bidhaa nyingi za kichina.Hukufuata njia sahihi wakati wa manunuzi...
Bado sijakupata... Inamana bidhaa zao hazifiki afrika?Mimi ni mzoefu na nimefanya manunuzi sana ebay, amazon na alibaba. Nilichogundua ni kwamba mitandao ya ebay & amazon haiwalengi watu waishio Afrika, labda alibaba yenye bidhaa nyingi za kichina.
Zinafika ila uhakika sio mzuri kama kwa ulaya na marekani. Ebay na Amazon ni kama kupatana tu, hawatoi huduma za shipping Afrika, so your own risk.Bado sijakupata... Inamana bidhaa zao hazifiki afrika?
Kuna wanaotoa free international shipping na ambao hawatoi.. Ni jukumu lako kuangalia yupi anatoa wakati wa uchaguzi wa bidhaa.. Wengine wanatoa ila yapaswa kulipia shipping.. Mi nafikiri mdau unapaswa kujifunza zaidi haya maswala kabla ya kulinganisha ebay na kupatanaZinafika ila uhakika sio mzuri kama kwa ulaya na marekani. Ebay na Amazon ni kama kupatana tu, hawatoi huduma za shipping Afrika, so your own risk.