Mrejesho: Matokeo ya kilimo cha alizeti Singida

hahahaa mkuu pole sana aisee mm nilienda kulima manyoni mwaka jana ilikuwa vituko sana nililima ekari 10 nilikodi shamba nikalima ,panda fresh kabisa alizet zikatoa na kunipa moyo sana ilipo kuja kudondoka mvua aibuu.ilinyesha mvua ya sifaa sanaaa kama wiki nzima hivi shambani hakufikiki maji yamejaa alizeti zote zilifunikwa na maji.baada ya maji kuisha mashambani alizeti zote zimeharibika na story yake ikaishia hapo bora hata ww umevuna iasee
 
Sometimes you will win , sometimes you will learn. Do not afraid to lose money BR the lesson you learn is so much valuable. Take a step further ahead.
 
Ndugu na wadau mbalimbali wa kilimo naomba kujua ni mda gan mwafaka wa kulima alizeti? Yaan ni miez ipi ya msimu wa mvua inafaa. Mimi napatikana Ruvuma.
 
Ndugu na wadau mbalimbali wa kilimo naomba kujua ni mda gan mwafaka wa kulima alizeti? Yaan ni miez ipi ya msimu wa mvua inafaa. Mimi napatikana Ruvuma.
Mm pia nipo ruvuma nahtaji mashine ya kupandia alizet anayefahamu tujulishane..mashine ni ya mkono
 
Ukitaka kuendela kuwa maskini lina alzert nililima ekari 10 nikavuna gumia saba sana nilikopa trekta suma jkt sijawahi ona hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli mwaka jana haukua mzuri sana afadhali kwako ulipata gunia mbili kwa heka mimi nililima heka 10 nikapata gunia 6 mvua ilizidi sana asilimia kubwa tulivuna mapukusa (mbegu tupu ambayo haina mafuta ndani) mwaka huu nimepumzika
 
Kwahili janga la kupanda kwabei ya mafuta yakula huu ndio wkt muafaka sasa, naomba kuuliza wadau hv ni miezi ipi inafaa kwa kilimo cha Alizeti, na je hilizao kwa kilimo cha umwagiliaji linafaa ??
 
Mkuu bado unatumia blackberry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…