Tunamshukuru Mwenyezi MUNGU,Mwoaji amefanikiwa kumpata Mke Mwenye Sifa 15 Kati ya 16, Kilicho Bakia Hivi sasa ni mchakato wa ndoa yenyewe Kukamilishwa.
Tunamshukuru kila aliye husika kwa namna yoyote ile kuchangia mada hii.
Ipo siku katika hizo sofa 16 itakuja kubaki sifa moja tu ya upendo ndio utajua kweli Mungu sio mzungu. Utalazimika kumpenda licha ya sifa 16 kuisha muda wake.
Ipo siku katika hizo sofa 16 itakuja kubaki sifa moja tu ya upendo ndio utajua kweli Mungu sio mzungu. Utalazimika kumpenda licha ya sifa 16 kuisha muda wake.