Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6)
Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo watafanya utaratibu wa kuongeza vifaa.
Ni lini wataongeza hata wao hawajui ila wameahidi watanipigia wakishamaliza kujenga connection mpya ambayo pia hawajui watajenga lini
Hata hivyo nmependa huduma kwa wateja yao.
Kwa jinsi nilivyosota toka january hadi leo ndio nafanikiwa kujibiwa maombi yangu sidhani kama mtu wa kawaida tu angeweza kukomaa miezi 12 kwa huduma ya fiber.
Ipo haha ttcl kuongeza uwekezaji kwenye huduma hii. Ingekuwa kampuni ya mtu binafsi ningesema mtaji wake ni mdogo ila kwakuwa ni shirika la serikali niishie kusema hawako serious maana serikali hiaiishiwagi mtaji
SO far cystomer care ni nzuri mno. Tatizo huduma