mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
Ndugu wanajamvi nawasalimu!
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week huku akizusha vitu ambavyo si vya kweli. Anasema nina mtoto naye wa miaka 2 kitu ambacho ni uongo wa wazi.
Nahisi kuna kitu anatafuta kutoka kwangu. Hii ni baada ya kulia sana akiomba radhi ila nikakataa. Achilia mbali mzee wake(Meya wa manispaa fulani) kunitishia mno. Ila nilikazania msimamo wangu. Wakati huo wote sikuwahi shiriki naye ngono bila kinga. Na kinga zote nilikuwa nakuja nazo mimi na tulifanya kwa usahihi.
Hata angepata mimba basi kipindi tunaachana na mpaka sasa ni kidogo mno kwa yeye kusema ana mtoto wa miaka 2 na mimi. Issue kuu ni hii, uvumilivu ulinishinda alipokataa kuondoka hivyo nilimchapa na chain/nyororo miguuni kwani alikuwa ananitukana mno. Aliondoka akiahidi atanikomoa. Nimerekodi vitisho vyake na vya mzee wake nasubiri tu niitwe huko polisi.
Aisee kwenye heshima yangu nakuwa sina huruma kwa mtu yeyote. Na deal naye vipi huyu binti? Na tayaru baadhi ya ndugu zangu amewaaminisha ana damu yangu? Na wameanza kunisakama? Mpaka ustawi wa jamii ameshawahi kwenda na nikaitwa na kulazimishwa nilee mtoto asiye wangu?
Nashindwa kuelewa kama amehonga au la! Na deal vipi na hii familia though wana pesa ndefu? Nimejidhatiti ku deal nao
perpendicularly
Pia soma: Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo