Mrejesho: Mpenzi wangu niliyemuacha baada ya kugundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, amekuja nyumbani kunifanyia fujo akisema simtunzi mtoto

Akuonyeshe huyo mtoto kwanza. Na pia kingine kinachofanyaga mkatae mimba ni kwasababu mnakwepa majukumu na hamko tayari kujenga familia nao. Acha mbwembwe muoe dada wa watu. Yaani hapo kinachokupa kibri ni huyo mpenzi wako mpya huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…