MREJESHO: Msukuma Msomi nimepata Mke JamiiForums

haya bhana msukuma hkuna namna nadhani sasa mambo yetu yle utakuwa unapata tuu

ushanielewa nadhania mana wee ni msomi

kila la kheri ila ukiachana nae pia utwambi bhana

though i trust you will last long wish all da best
 
Msukuma hata akipata Ph.D ya Kemia usomi wake nina shaka nao.

Ahene nabhona watola kaanike ka ng'wani ako angoo?
 
Ha ha ha ha hakyamungu mapenzi mapya kama nguo ya sikukuu kwa mtoto wa tandale
Mbona hujaniita kwenye hiki ajabu jipya la Sayari???

Hii njemba imejoin JF February mwaka huu, na February mwaka huu ishapata mke!!!

Ama kweli, msukuma ni msukuma tu!!

Nimwevulia kofia... Maana kuna jogoo langu kitombi balaa, limemaliza mwezi sasa bado linasaka mtetea wa kutotolesha halijapata...
 
Hongera ndani ya siku ishirini umeshapata wa kukidhi vigezo

Kama ni kweli una bahati aisee ila umakini unahitajika kuna wengine waigizaji balaa usije ukaja na thread ya malalamiko
 
Tena utukome wasukuma kama unamsema mseme mtoa mada yeye mwenyewe usituingize na sie kwenye mambo yake ebooo[emoji16] [emoji19]
 
Waoo!!! Na umoende ivo milele... Moyo usukume damu kimadoido ivoivo till the end of you guys! Mungu awatangulie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…