mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Hahahahaha jamaa umenichekesha sanaMkuu futa uo mpango.mwenzio Niko mochwari kwasababu ya Honey Faith
Aiseee ngoja niendeleze kupaka haka kamkorogo kangu ili mahari ije kutolewa nyingiMaana siku nikikupeleka kwetu wata furahi sana maana mwanamke mweupe kwetu tunatoaga mahari kubwa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7]
Mamaaaa... namwonea huruma sana...Kafie mbele huko hembu nyamaza kwanza kuna mtu anataka kutangaza ndoa
Nani kakupeleka huko jamani?Mkuu futa uo mpango.mwenzio Niko mochwari kwasababu ya Honey Faith
Kumbe umepelekea mtu kulazwa wewe khaaaa[emoji23] [emoji23]Aiseee ngoja niendeleze kupaka haka kamkorogo kangu ili mahari ije kutolewa nyingi
Huruma ya nini?Hebu usinipeperushie ndege wangu bureMamaaaa... namwonea huruma sana...
Kijana acha jamaa atumie fursa, tunataka serikali ya viwanda.mtumie sasa uzazi wa mpango si unajua maisha term hii pia isaidie serikali kubalance watu iwamudu,hata kama ni mkristu futa ile "tukaijaze dunia"kwa maana imeshajaa sasa...
NAWATAKIA MAPENZI MUBASHARA
Miguu ya kisukuma hioMiguu yako tu inaweza fanya nitangaze ndoa kama msukuma na mm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Faith inataka na mm niungane na jamaa nimestuka [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huruma ya nini?Hebu usinipeperushie ndege wangu bure
Basi sawa... ngoja niwaache wazembe waingie cha kike...Huruma ya nini?Hebu usinipeperushie ndege wangu bure
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi sawa... ngoja niwaache wazembe waingie cha kike...
Huhuhu.Mali ikiwa nyingi sana unitafute nikusaidie pa kuiweka.Aiseee ngoja niendeleze kupaka haka kamkorogo kangu ili mahari ije kutolewa nyingi
Wazembe?Aiseee nitakumind chaliii yangu?[emoji19] [emoji110] [emoji123]Basi sawa... ngoja niwaache wazembe waingie cha kike...
Utaanzia wapi kwa mfano?? Ndege wangu mwenyewe wala sihitaji manati...Wazembe?Aiseee nitakumind chaliii yangu?[emoji19] [emoji110] [emoji123]
Nimestuka we jamaa unaniaribia tu wacha nikaze naweza pata hii miguu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Utaanzia wapi kwa mfano?? Ndege wangu mwenyewe wala sihitaji manati...