mrejesho muhimu...asante ngoja nipone kwanza
mmmh usiseme hivyoasanteni mkisikia nimekufa msishangae
Jitahadi kula mboga mboga sana ili kuongeza damu.Maumivu yakizidi muone Dr.Mi nashukuru nlivotaka kupunguza uzito nlipunguza tu kiasi cha msosi tu basi na imenisaidia.asante ngoja nipone kwanza
Jitahidi kunywa maji mengi na juice kwa wingiasante sana yaani cha moto nakiona . hadi kichwa kinauma
nina hamu sana ya kupungua hata nikiambiwa kinyesi kinapunguza mwili nitakulaMiss Natafuta alikuambia unapungua kilo 5 kwa siku moja au nasoma vibaya. Hii ingetosha kukupa maswali kabla ya kuitumia.
Yale ni matangazo unaweza ukapoteza maisha....Asante mkuu kwa kuongezea zaidi.Aachane na hayo madawa sio mazuri
Zoezi huwa ni zuri mnoo... Ukiweza walau hata mara tatu kwa wikikupunguza uzito na unene si kazi ndogo inabidi ujitoe kweli....achana na madawa..fanya zoezi...nilikuwa na kilo 90...mwili nyumba....ukiniona sasa unaweza kukataa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]nina hamu sana ya kupungua hata nikiambiwa kinyesi kinapunguza mwili nitakula
ahaaaaa alikunywa nini?Yale ni matangazo unaweza ukapoteza maisha....
Kuna mmoja alikunywa, aliharisha mpaka akashindwa kusimama akiwa chooni..
Ni kuwa makini sanaa
asante mamy maana cha moto nakionaJitahidi kunywa maji mengi na juice kwa wingi
kuna siri hapa mkuu?Leo nimezijua siri zako.
Mkuu kwa hiyo unamshauri nae apige kaya![emoji23] [emoji23]Mi navuta bangi sana na sinenepi maana nakosa apetaiti
Kwa hiyo umeacha hiyo dawa au bado unaendelea nayomkuu sili sana ni asili tu
Pole sanayaani nimechinja mbuzi wa kutosha
Hapana hutokufa pole sana.asanteni mkisikia nimekufa msishangae