Nasiche
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 735
Habari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa na serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:Graduate
Kazi:Ya kudumu
Rangi: Mweupe pee
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Makazi; DSM
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app