Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Habarini bana!! Tulianzia hapa. Ahsanteni kwa wooote mliochangia ule uzi!!
Sasa yule mshkaji wangu kumbe ni mimi mwenyewe, nilipiga simu jamaa wakaniambia boss kaondoka na atarudi baada ya siku 3 according to HR(it was true). Nikawa mpole!! Baada ya siku 3 nikapiga kwwa HR tena simu,nikaambiwa karudi na HR ataongea nae halafu nitapigiwa soon, ikawa kimya. Nikapiga tena kwa HR nikamwambia nije mwenyewe au niedelee kusubiria call, akaniambia usije tutakupigia sasa hivi. Nikavaa gwanda nikaenda mwenyewe hadi ofisini(nikafuata ushauri wa ZeMarcopolo, PakaJimmy, Katavi, afrodenzi, Dena Amsi na NasDaz).
Kitu cha kwanza kufanya nikaenda hadi kwa yule Boss(ambaye aliifanyia interview na kunipa kazi/aliyesafiri)...Ile kunioa tu cha kwanza akaniambia kuwa alisafiri na alishahau na documents zangu hakumbuki aliziweka wapi (he is too busy to keep that). Hapa nikajifunza jambo!! Kwamba ningeendelea kuuweka eti kusubiria call ingekula kwangu!! Kumbe zile docs tayari zilikuwa kwa HR table,ila HR alikuwa busy akawa ananipa ahadi Hewa, kama anavyodai Edward Teller!!
So hapo baada ya kumuona boss biashara ikawa imeisha, everything ikawa straight forward ingawa HR alikuwa busy lakini ndo hivyo tena, end of the day nikasubiri ticket yangu ya ndege naelekeaaaa hukoooooo visiwani.!!
So sasa hivi nimetuliaaa kama ushauri wa NasDaz unavyojipambanua!!
My regard