Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Hii Ndoto inanisumbua Mwaka wa 12 Huu.
Baada ya kutafuta nasaha kwa ndugu jamaa na marafiki, nilifanikiwa leo kupata nasaha kwa rafiki yangu mmoja...akanipeleka mahali kwa Mmama mmoja hivi (I Guess ni Mpiga Ramli), basi akaniambia nimtajie jina langu nami nikamtajia.....katika kufanya mambo yake akaniambia kuna Jirani yenu ambaye mna kaundugu fulani alishawahi kuchukua Daftari,unywele na ukucha wangu.....anasema hivo vitu vimewekwa kando ya mto ndio maana hio ndoto haiishi kujirudia.
Anasema kupitia hivo vitu vilivyochukuliwa....kuna weakness nyingi zinajitokeza na wengine ambao wana nia mbaya na mimi basi hunidhuru kirahisi.
Aliniambia vitu vingine tofauti na ndoto ambavyo vina ukweli 100%.....sasa akaniambia inatakiwa nimtafutie mtu atakaeweza kwenda kunichukulia hivo vitu....kama jina lake litafit....na kwa kweli mimi sijui jina la mtu yeyote anayechukua vitu vya mtu vilivyochukuliwa kichawi..!
Basi naombeni wanandugu kama kuna mtu anamjua mtu mwenye uwezo wa kurudisha vitu vya mtu vilivyochukuliwa kichawi anisaidie tu......Popote Tanzania naweza kuenda kikubwa nisaidie Jina na Anapokaa!
Maji yamefika Shingoni.!