litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Jamani walimwengu wabaya,dunia mbaya.jana niligeuka kenge kwa muda usiojulikana baada yakulala na mkewa mtu. Sasa iliishia nipo juu ya meza na type uzi humu JF na ukizingatia mkono ulikuwa mnene na kucha zimepinda ilibidi niwe makini mno kuepuka kukwaruza kioo na kukosa msaada.
Ghafla nikapata wazo la kushuka mezani na simu mdomoni,kwa kuwa mlango ulikuwa umeegeshwa na kale kauwazi nikatoka mdogo mdogo kwa kunyata. Ila kuhamaki mkojo unanibana,ikabidi kuiweka simu silent na kuficha simu nyuma ya dustbin ya mle ndani.
Nikaingia washroom na kupanda kwenye sink,kutokana na ufupi nilishindwa hivyo kukojoa chini.
Nikajifuta futa kimtindo pale na kuichukua simu yangu ila kabla sijaondoka nikamuona mgeni anafika,nikakausha.
Huku simu ikiwa kinywani bado nikatoka getini kwa mbinu za kijasusi...
Narudi kuendelea