Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Sasa kama unampenda mbona kutuhangaisha?au mi ndo sijaelewa
 
Mimi binafsi naweza kua kama huyo mwanaume wa mleta mada , pengine na kuzidi.

Ila sasa wanawake wenyewe sasa!!!!

Ee Mungu naomba utupe wepesi sisi wanaume, tunateseka mnoooooo!
 
Ila mbona tena na mamen wanapatwa na chuki na papuchi ya huyu mwanamke , hawaamini kwanza kwamba mwanamke huyu amechakatwa vyema, na zaidi amepewa hati sijui
Chuki gani tena jamani mwanaume unakuwa nayo towards mwanmke ambaye anatumia mbususu yake kupata nyumba na viwanja?

Jamni hamjui wanawake wanapitia vingi mpaka kupata hizo nyumba vingi hawezi kuviweka wazi hapa wacha aenjoy
 
Mimi binafsi naweza kua kama huyo mwanaume wa mleta mada , pengine na kuzidi.

Ila sasa wanawake wenyewe sasa!!!!

Ee Mungu naomba utupe wepesi sisi wanaume, tunateseka mnoooooo!
Wanawake wanaojua kuthamini wanaume wapo pia shughuli ni kukutana nao ila wapo.
 
Wanawake wanaojua kuthamini wanaume wapo pia shughuli ni kukutana nao ila wapo.
Ni kweli wapo wanawake wazuri na wanaume wazuri pia, ila wengi wao wamekwisha wahiwa au wameshaumizwa wanamajeraha kwa hiyo wako na tahadhari kubwa, sasa kwenye hio tahadhari ndio paweza kuonyesha hawathamini, ila wana thamini sana. Kukutana ndio hoja kama ulivyo sema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…