Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Tena usikute saaly mwenyewe ni mwanaume... Hii stor imekaa ki chai chaii
 
Hii komedi ilianzia wapi kabla haijafika hapa?
 
Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.

Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo: Nimekuwa na mahusiano na
Kubali uolewe naye tu ameshakugharamia vitu vingi sana huwezi kutoka lwenye mtego huo tena
 
Yapo Mengi tu, sema baadhi ya watu hawajakutana nayo. Lakini yapo makubwa kuliko hayo.

Hapo mdada hakuna namna. Assume tu kuwa Mke wa pili, kwa kuwa sioni dalili za kukuacha.

Ukitamka Tena utaonyeshwa nuclear weapon.
Sasa hiyo sijui ni bahati au[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Duh
Hii u-turn ya jamaa mbona Kama sijaielewa[emoji848]

Hivi ndo uyu uyu alikushikia bastola au unamwongelea yule marioo?
 
Kuna movie moja ya TYLER PERRY inaitwa Sisters ww nakufananisha na mdada anaitwa Andy...kumbe haya Mambo yapo..
 
Kuna movie moja ya TYLER PERRY inaitwa Sisters ww nakufananisha na mdada anaitwa Andy...kumbe haya Mambo yapo..
Alikopewa apartment,ndinga na hajui afanyaje na Robin anamtaka pia[emoji2]
 
Jamani nyieeee..hivi kumbee Kuna waume za watu wenye mahaba namna hii 🤔🤔🤔..
Enwei hongera Sana
 
Kwahiyo umewachana naye hadi kufikia sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…