Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

hii nimeipenda zaidi chezea wanaume wewe! hapa huwezi toka
 
Next time tuletee mrejesho number mbili ukiwa umeshafunga ndoa naye na mkiwa na watoto na hivyo viwanja vyako ukiwa umeshajengewa nyumba tayari
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…