Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Asiye na hela ndo marioo yani yule kijana wako ambaye hana mia anayetaka umlele kisa ameona unakigari ulichohongwa

Yule hahitaji kulelewa bwana, anajiweza vizuri tu.
 
Na nafikiri wengi hawajawahi kufanya au kufanyiwa hivi ndio maana wanaona ni story nimetunga. I wish ingekuwa tu ni story.
Ndio maana nasema lilia bahati....wewe shukuru una hiyo bahati wenzio wanaishiwa kumegwa mbususu na kiwanja hawaoni sasa wewe unajengewa hadi nyumba.....karibuni utaletewa helkopta
 
Wewe ni muongo

Ulileta uzi wa mrejesho ukafutwa
Usitufanye sisi vichwa maji

Eti ubusy 😏
 
Ndio maana nasema lilia bahati....wewe shukuru una hiyo bahati wenzio wanaishiwa kumegwa mbususu na kiwanja hawaoni sasa wewe unajengewa hadi nyumba.....karibuni utaletewa helkopta

Mmmh!
 
Wewe ni muongo

Ulileta uzi wa mrejesho ukafutwa
Usitufanye sisi vichwa maji

Eti ubusy [emoji57]

Niliandika kwa kifupi sana as sikuwa na muda wa kutosha kuandika in details, na waliocoment walitaka details. Ndio maana nimeleta details. Mbona umeandika kwa hasira sana bibie? Kwema?
 
Wee usiniambie....yaani jamaa anahonga nyumba kwa mwanamke ambaye hana msambwanda[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] basi mganga wako kiboko

Siujui hata mlango wa mganga mimi.
 
Niliandika kwa kifupi sana as sikuwa na muda wa kutosha kuandika in details, na waliocoment walitaka details. Ndio maana nimeleta details. Mbona umeandika kwa hasira sana bibie? Kwema?

Ungesema sasa ukweli kwamba ulileta mrejesho ukafutwa

Waliocoment walitaka details gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…