Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Hapo kwenye viwanja ingenoga ungeweka Dodoma,maana saa hizi Vijana wananunua viwanja kwa kasi Dom.
 
Hongera cute...mwombee kwan hata ivo hakuna mwanaume wa mmoja
Sasa mbona mnalalama humu kuwa tunagegeda na hatutulii na mbususu moja? Au inakubalika kwa mwanaume ambaye anahonga majumba lakini sio wakina kajamba nani mzabzab
 
Alishaleta,aliandika mazagazaga mengine tofauti na ya leo

Mie nikaja kuweka link ya uzi wa alioletea mrejesho ili wasoma comment waelewe mrejesho unahusu uzi gani

Sasa kaleta mwingine wa nini? Au ndio tuone hatupendwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saaly sijapenda.

Ngoja nimjibie maana dada unaonekana imekuuma kweli.
 
Ndio mrejesho gani sasa huu!!?
 
Sasa mbona mnalalama humu kuwa tunagegeda na hatutulii na mbususu moja? Au inakubalika kwa mwanaume ambaye anahonga majumba lakini sio wakina kajamba nani mzabzab
No kamanda...tunajua ila ni ile kutamani kuwa pekeyako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…