Mrejesho: Nimeng'oa lile jino, limenisumbua 10years nikiogopa kuchomwa sindano ya mdomoni

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Jino langu linauma sana usiku

Hili ni jino langu la kwanza kung'oa.

6e4ed3dd442fc249930951e230608f95.jpg

Wakuu nimevumilia maumivu ya hili jino kwa miaka 10 sasa.

Jana na lenyewe likazidisha maumivu makali mno, nilibaatika kupata chembe ya usingizi saa saba usiku ila saa tisa ukaisha nikaendelea kuumwa sana, saa tisa na nusu nilikuwa nimeshaoga na kuvaa tayari kwa kumuona dr.

Nimeindoka nyumbani saa kumi ndani ya lisaa tu nilishafika.

Dr. Alikuja saa mbili akanikuta nimekaa mlangoni.

Sababu ya uvumilivu huu ni kuogopa kuchomwa sindano ya mdomoni. Naogopa sana sindano

Pili niliambiwa uking'oa, wadudu huamia jino linolofuata, ila nimekuta na watu wengi sana ambao wameng'oa bila kupitia hali hii

Tatu nilikuwa mdogo naogopa kuwa kibogoyo, ndani ya hii miaka nshakuwa mzee mjue ee. So wacha ning'oe

Napenda kuwatia moyo hakuna maumivu ya hiivyo. Kayatoeni tu, kama yanauma ndo dawa.

Ndani ya hii miaka 10 nimetumia kila aina ya dawa mnayoijua ila zilinikataa.
Nawashukuru kwa ushauri pamoja na kwamba nilichelewa kuchukua maamuzi sahihi ya kulitoa kama wengi mlivyoshauri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kutoa jino si kazi sana ila umpate mtaalam wa ukweli!! Mimi mwaka jana nilikuwa na jino linanisumbua nikiwa bukoba nikaenda hospital moja iko hapo bukoba mjini karibu na lina,'s bar pembezoni na mto kanoni kama unaenda buyekera bwana weee!! Dr. Atakuwa fake yule alinichoma sindano za ganzi 4!!!bila mafanikio!! Ganzi haishiki eti akaniambia kuwa inaonekana mimi ni mnywaji wa pombe kali ndio maana ganzi haikubali!!! Nilimjibu jibu moja tu akasema toka humu au umetumwa?!! Eti nirudi kesho kutwa yake!!! Pombe ziishee mwilini wakati tangu maisha yangu yote sijawahi onja pombe!! Kesho yake nikaenda government kuna mtaaalam kiboko MSWALI SUNA(MZEE WA VIPEDO)yule bwana kwa bukoba kila mtu huwa anataka atolewe jino na huyu na yupo pale toka miaka ya 1996!!!alinipiga ganzi moja tu chali '! Jino likatoka kiulaini!! Nikaenda nalo kumuonyesha yule dr. Fake kuwa unaona watu wenye fani zao wameweza!! Aliniangalia nilimkolomea kichizi, kuwa wanatumia labda ganzi zilizoishi muda wake.
 
KWA hiyo una pengo ...[HASHTAG]#mbere[/HASHTAG]

Ova
 
uwiiii poleee

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Kutoa jino si kazi sana ila umpate mtaalam wa ukweli!! Mimi mwaka jana nilikuwa na jino linanisumbua nikiwa bukoba nikaenda hospital moja iko hapo bukoba mjini karibu na lina,'s bar pembezoni na mto kanoni kama unaenda buyekera bwana weee!! Dr. Atakuwa fake yule alinichoma sindano za ganzi 4!!!bila mafanikio!! Ganzi haishiki eti akaniambia kuwa inaonekana mimi ni mnywaji wa pombe kali ndio maana ganzi haikubali!!! Nilimjibu jibu moja tu akasema toka humu au umetumwa?!! Eti nirudi kesho kutwa yake!!! Pombe ziishee mwilini wakati tangu maisha yangu yote sijawahi onja pombe!! Kesho yake nikaenda government kuna mtaaalam kiboko MSWALI SUNA(MZEE WA VIPEDO)yule bwana kwa bukoba kila mtu huwa anataka atolewe jino na huyu na yupo pale toka miaka ya 1996!!!alinipiga ganzi moja tu chali '! Jino likatoka kiulaini!! Nikaenda nalo kumuonyesha yule dr. Fake kuwa unaona watu wenye fani zao wameweza!! Aliniangalia nilimkolomea kichizi, kuwa wanatumia labda ganzi zilizoishi muda wake.
Ni jino la juu au la chini? maana inasemekana kung'oa jino la juu ni hatari sana.
 
Jino langu linauma sana usiku

Hili ni jino langu la kwanza kung'oa.

6e4ed3dd442fc249930951e230608f95.jpg

Wakuu nimevumilia maumivu ya hili jino kwa miaka 10 sasa.

Jana na lenyewe likazidisha maumivu makali mno, nilibaatika kupata chembe ya usingizi saa saba usiku ila saa tisa ukaisha nikaendelea kuumwa sana, saa tisa na nusu nilikuwa nimeshaoga na kuvaa tayari kwa kumuona dr.

Nimeindoka nyumbani saa kumi ndani ya lisaa tu nilishafika.

Dr. Alikuja saa mbili akanikuta nimekaa mlangoni.

Sababu ya uvumilivu huu ni kuogopa kuchomwa sindano ya mdomoni. Naogopa sana sindano

Pili niliambiwa uking'oa, wadudu huamia jino linolofuata, ila nimekuta na watu wengi sana ambao wameng'oa bila kupitia hali hii

Tatu nilikuwa mdogo naogopa kuwa kibogoyo, ndani ya hii miaka nshakuwa mzee mjue ee. So wacha ning'oe

Napenda kuwatia moyo hakuna maumivu ya hiivyo. Kayatoeni tu, kama yanauma ndo dawa.

Ndani ya hii miaka 10 nimetumia kila aina ya dawa mnayoijua ila zilinikataa.
Nawashukuru kwa ushauri pamoja na kwamba nilichelewa kuchukua maamuzi sahihi ya kulitoa kama wengi mlivyoshauri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mimi pia ninalo kama sio miaka kumi basi zaidi au bado kidogo lifikishe

Nyani wa Kale
 
Katoe, niunge mkono kwa kusema na kutenda kwa kukataa maumivu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku nililipia hadi hela ya kung'oa kabisa,
na nikafikishwa hadi kwenye kile kitanda cha kung'olea,
doctor akafika akiliwasha lile jitaa kubwa,
Akaniuliza upo tayari kung'oa?
Mimi muda huohuo mwazo yanakanibadilika nikamwambia hapana nimeghairi, kama kuna dawa za maumivu nipeni tu,
Na mpaka leo jino langu bado ninalo na ninatafuna hadi mawe... Soln ya maumivu niliipata humuhumu jF na nikafuatisha hatimae likapona, live longer JF
 
Mi nataka kuziba jino limetoboka,naogopa balaa
Najiuliza ntachomwa sindano ya ganzi?najiuliza inauma sana naogopa na mim
 
Kuna siku nililipia hadi hela ya kung'oa kabisa,
na nikafikishwa hadi kwenye kile kitanda cha kung'olea,
doctor akafika akiliwasha lile jitaa kubwa,
Akaniuliza upo tayari kung'oa?
Mimi muda huohuo mwazo yanakanibadilika nikamwambia hapana nimeghairi, kama kuna dawa za maumivu nipeni tu,
Na mpaka leo jino langu bado ninalo na ninatafuna hadi mawe... Soln ya maumivu niliipata humuhumu jF na nikafuatisha hatimae likapona, live longer JF
Dawa gani nami nikanunue jino langu limetoboka
 
Mkuu....
Nijuavyo wewe ni Me, lakini mbona naona kama unaviashiria vya Ke..[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Samahani kwa kutoka nje ya mada.
IMG_20170712_194804_060.jpg
 
Back
Top Bottom