Mrejesho: Nimepata yule ninayemtaka

Huenda mleta Uzi ni mgeni kwenye mahusiano. Ndani ya wiki moja utafahamuje kuwa ndiye wa kukufaa maishani. Au ulikuwa unanjaa ya kigegedwa?
 
Jumamosi tangazo na jumatatu mrejesho. Kabla ya wiki kuisha atakuwa amerudi humu na kutuita WANAUME WOTE MBWA NA WANAFANANA
 
Safi sana,utulie sasa,maana tunaendelea kukuchunguza ukiharibu usitulaumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…