MREJESHO: Nimetoka kufanya Operation ya Jicho/Makengeza CCBRT

Ilikuchukua muda gani kupona !
 
Mkuu MUNGU mwema, nitumie oivha yako ya before and after PM

Kama hutojali
 
Mkuu picha sio lazima ionyeshe uso , crop utuwekee macho tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Doctors hawapewi maua yao zaid ya imaginary friend [emoji174]

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hello
Bima ya shilling ngapi inaweza ku-cover hiyo operation, maan bima zinatifautiana

Bima ya shilingi ngapi ina cover hiyo operation maan bima zinatofautiana
 
Hongera sana..Mimi ndo naelekea kufanya hiyo operation lakini Mimi jicho langu haliwezi kupata uoni kamili lakini Dr Sonia alisema anaweza kupunguza kengeza,,je,wewe kengeza liliisha kabisa??? Naomba jibu please
Lilikuwa 75 ila kwa sasa lipo 19, walinipa mazoezi ya kumaliza hiyo 19 ila sijawahi kufanya kabisa. So far nina nafuu sana kuliko kabla ya operation.
 
Hongera sana..Mimi ndo naelekea kufanya hiyo operation lakini Mimi jicho langu haliwezi kupata uoni kamili lakini Dr Sonia alisema anaweza kupunguza kengeza,,je,wewe kengeza liliisha kabisa??? Naomba jibu please
Umefanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…