malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid
Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya siku zote ya ugonjwa nao umwa wa tezi ..baadae nkaenda muona physician akaniandikia vipimo,mkojo,damu,fullbloodpicture,ecg na echo,hba1c,renal function....majibu yakatoka Sina ugonjwa wowote hakuna Cha UTI Wala typhoid.
Hizi dispensary mtaani nimajanga zinaweza kuuwa mtu aisee unapewa majibu ya ugonjwa ambao huumwi